The House of Favourite Newspapers

Biashara Ya Utumwa Yasababisha Machafuko Makubwa-Video

0

Japokuwa inafahamika kwamba biashara ya utumwa ilipigwa marufuku Duniani kote miaka mingi iliyopita, hali ni tofauti nchini Mali ambapo bado kuna ubaguzi mkubwa unaoendelea, unaofanywa kwa familia ambazo zinatokana na kizazi cha watumwa.

 

Septemba 28, 2021 vurugu kubwa ziliibuka katika Jimbo la Kaye, Magharibi mwa nchi ya Mali katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa nchi hiyo, ambapo mtu mmoja anadaiwa kufa na wengine wengi kujeruhiwa vibaya katika vurugu hizo.

Leave A Reply