The House of Favourite Newspapers

Bieber, Baldwin Waonyesha Mapenzi Yao Hadharani

MWANAMUZIKI maarufu wa Canada, Justin Bieber  na mwanamitindo  na mtangazaji wa televisheni wa Marekani,  Hailey Baldwin,  wamelionyesha penzi lao hadharani, waliponaswa na mashabiki wakiwa wamekumbatiana kimahaba katika bustani moja jijini New York, bila kuwajali wapita njia.

Kwa waliokuwa na wasiwasi wa kuvunjika kwa penzi kati ya Bieber na Selena Gomez miezi kadhaa iliyopita, waliondoa wasiwasi huo mwishoni mwa wiki iliyokwisha jana walivyowashuhudia wapenzi hao wapya katika bustani ya Brooklyn.

Comments are closed.