The House of Favourite Newspapers

New Song: Blandina Godfrey & Enock Jonas – Nikuone (Official Audio)

MUIMBAJI anayechipukia katika tasnia ya nyimbo za gospel, Blandina Godfrey akishirikiana na kijana Enock Jonas wameachia wimbo wao mpya uitwao ‘Nikuone’, hakika ni bonge la wimbo kwa ajiri ya kumwabudu Mungu.
Akiuzungumzia track hiyo, Blandina amesema kwamba Wimbo huo ni kwa wote wanaopita katika majaribu ambayo yamewakatisha tamaa.
“Hatuna budi kuogopa na kuvunjika moyo kwakuwa MUNGU mtenda miujiza, yeye aliye MUNGU wa haki anaona tunachopitia na hakika atatufanyia mlango wa kutokea,” amese,a Blandina.

New Song: Blandina Godfrey & Enock Jonas – Nikuone (Official Audio)

Comments are closed.