The House of Favourite Newspapers

BIRTHDAY YA WEMA USIPIME

Mama Wema akibanwa maswali na mapaparazi.

USIKU wa kuamkia leo, Miss Tanzania 2006 na staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, aliangusha pati ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa sambamba na uzinduzi wa filamu yake aliyocheza na staa wa filamu kutoka nchini Ghana, Van Vicker. Sherehe hiyo ilifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Jijini Dar na kuhudhuriwa watu mbalimbali wakiwemo mastaa.Wageni waalikwa wakiingia ukumbini.JB akipigwa maswali.Mapaparazi wakimvizia Wema ashuke kwenye gari.Van Vicker akiingia ukumbini.Mama Dangote naye akibanwa maswali na mapaparazi.Wema na Van Vicker wakiondoka ukumbini baada ya kumaliza kilichowapeleka.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

 

Comments are closed.