The House of Favourite Newspapers

Biswalo Angoza Kwaya Kanisa Katoliki – Video

0

Achana na nyimbo za RC Chalamila… baadhi ya viongozi wa Serikali wamekuwa wakitia fora kwa kumtumikia Mungu kwa namna mbalimbali ambapo hivi karibuni aliyekuwa Mkurugenzi wa mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga naye ameonesha kipawa cha kuongoza kwaya.

 

Biswalo ambaye Mei 11, mwaka huu aliteuliwa na Rais Samia Suluhu kuwa Jaji wa mahakama kuu Tanzania, ameonekana akiongoza kwaya kwa ustadi wa kipekee.

 

Katika video iliyosambaa mitandaoni ilimuonesha Jaji Biswalo akiongoza kwaya moja ya kanisa Katoliki.  Jaji Biswalo anaungana na viongozi wengine kama vile RC Mstaafu Aggrey Mwanri ambaye pia amegeukia kuwa muinjilisti katika moja ya makanisa huko mkoani Kilimanjaro.

Stori na Mushi Gabriel | GPL

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave A Reply