The House of Favourite Newspapers

Blac Chyna afurahia kumzalia Rob Kardashian

0

Blac Chyna and Rob (4)MWANAMITINDO ambaye hakauki kwenye media Angela White ‘Blac Chyna’, 28, hivi karibuni amefunguka juu ya sababu za kwa nini anahitaji kumzalia mtoto mchumba wake Rob Kardashian mwenye miaka 29.

blac-chyna-5325eb06-5caa-4164-8b68-576cadb36629Akichonga na mtandao fulani wa burudani Marekani, mwanadada huyo ambaye pia ni mzazi mwenza na Tyga kwa mtoto wao wa kiume King Cairo Stevenson alisema yuko tayari kumzalia Rob kwa sababu anafikiri ni aina ya baba bora na mtu ambaye anafahamu juu ya majukumu yake.

“Nampenda sana Rob, nafikiri ni wakati muafaka wa kumzalia mtoto kwa sababu ni aina ya baba bora na anafahamu jinsi ya kutimiza majukumu yake kama kichwa cha familia,” alimaliza Blac.

Leave A Reply