The House of Favourite Newspapers

Bobali: Mwenyekiti, Mfikishie Rais, Tatizo Analo Waziri Mpango – Video

Mbunge wa Mchinga kupitia CUF,  Hamidu Bobali, amedai kuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, hapeleki fedha za Halmshauri kwa wakati na hali hiyo itaweza kupelekea wizara ya Tamisemi isifanye kazi yake vizuri.

 

Aidha, Bobali amemuomba Mwenyekiti wa Bunge amfikishie salamu Rais Magufuli, kwamba zahanati mbili ambazo alitoa agizo kwamba zifunguliwe ndani ya miezi miwili bado hazijafunguliwa kwa sababu hazina watumishi.

VIDEO: MSIKIE SELASINI AKIFUNGUKA

Comments are closed.