The House of Favourite Newspapers

BONDE LA MAAJABU Lenye MAWE ‘Yanayotembea’ -RACETRACK PLAYA – VIDEO

Hebu vuta picha, unaenda kufanya utalii kwenye bonde moja, ukifika huko unakuta mawe makubwa yakiwa yamesambaa kwenye bonde, lakini ukichunguza vizuri, unagundua kwamba kila jiwe limeacha alama nyuma.

Wenyeji wanakwambia kwamba hakuna mtu anayeyasukuma mawe hayo, bali huwa yanatembea yenyewe watu wakiwa wamelala.

Comments are closed.