The House of Favourite Newspapers

Breaking: Baraza la Mitihani (Necta) Lafuta Ada ya Mtihani kwa Watahiniwa wa Serikali

0

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza kufuta ada ya mtihani kwa watahiniwa wa darasa la saba, kidato cha nne na sita wa shule za Serikali, huku wanafunzi wa shule binafsi watakuwa wanaendelea kulipa.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga amesema serikali ina mpango wa kugawa Vishikwambi vilivyotumika katika zoezi la sensa kwa walimu wote kwa lengo la kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji.

Leave A Reply