The House of Favourite Newspapers

BREAKING: CCM watembea kwa miguu hadi kwa mama Maria Nyerere – VIDEO

KUELEKEA katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 19 ya kifo cha Baba wa Taifa la Tanzania, Mwl Julius Nyerere, Umoja wa Uijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umefanya matembezi kutokea Kinondoni mpaka Msasani nyumbani anapoishi Mjane wa Marehemu Mama Maria Nyerere na kuifariji familia hiyo.

VIDEO: FUATILIA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.