The House of Favourite Newspapers

Waziri Silaa Amtoa Mtu Aliyeshikilia Nyumba Ambayo Siyo Yake Tanga – Video

0


Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amemrejeshea nyumba yake Bi. ambaye ni Askari msataafu baada ya kuporwa nyumba ya marehemu mme wake na mfanyabiashara maarufu Jijini Tanga Anthony Adam Mmasi.

Waziri Silaa amefanya maamuzi hayo jana jioni alipotembelea nyumba hiyo baada ya kupokea malalamiko ya mama huyo wakati wa zoezi la Kliniki ya Ardhi inayoendelea jijini humo.

Leave A Reply