The House of Favourite Newspapers

Maziko Ya Gardner G Habash Kijijini Kwao Rombo – Mwanaye Na X-Wife Wake Waishiwa Nguvu – Video

0

IBADA ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds FM, Gardner G. Habash Rombo kijiji cha Kikelelwa kata ya Tarakea, Kilimanjaro.

Gardner G. Habash alifariki dunia alfajiri Aprili 20, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa akipatiwa matibabu. 

 

Leave A Reply