The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Diamond Amkabidhi Gari Muuza Mitumba – VIDEO

Mwanamuziki wa Bongo Fleva na Mmiliki wa Bidhaa za Diamond Karanga, Diamond Platnumz leo Agosti 14, 2018 amemkabidhi zawadi ya Gari kijana anayeitwa Bakari Said, mkazi wa Ubungo anayefanya kazi ya kuuza mitumba baada ya kuibuka mshindi wa bahati nasibu ya Diamond Karanga.

Comments are closed.