The House of Favourite Newspapers

Haji Manara Agoma Kustaafu Simba, Bado Yupo Fiti

0

Msemaji wa Simba Haji Manara leo Agosti 19, 2020 amefuta kauli yake ya kustaafu akisema kuwa jana Agosti 18, 2020 baada ya kupimwa na madaktari na kumwambia kuwa yupo fiti, moyo, mapafu bado yupo sana Simba, ameomba kauli yake ya mwanzo ipuuzwe.

Ameyasema hayo akiongea na wanahabari katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply