The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Kilichofanywa na Serikali Kuhusu Panya Road – Video

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wamezindua jarida maalum la kuhusu vijana suala la Amani na Usalama.

Chapisho la jarida hilo limetokana na utafiti uliofanywa na nchi zaidi ya nne ikiwemo Tanzania, kenya, Zimbabwe, Uganda na nyingine.

Comments are closed.