Mabasi Mawili ya Wanafunzi Yagongana, Dereva Afariki
Mabasi mawili ya wanafunzi ya Shule za Kivulini na Nyamunge yamengana uso kwa uso katika Barabara ya Mwanza–Simiyu katika eneo la Nane Nane mkoani Mwanza na kusababisha kifo cha dereva na wanafunzi wanane wa shule hizo kujeruhiwa.
Comments are closed.