The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Mtolea Arejesha Fomu ya Ubunge Temeke!


ALIYEKUWA Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Abdallah Mtolea, amerejesha fomu ya kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) alichojiunga baada ya kuondoka CUFwiki chache zilizopita alipotangaza akiwa bungeni.

 

Mtolea alipitishwa wiki hii na vikao vya ngazi za juu vya CCM kugombea nafasi hiyo.

 

Comments are closed.