The House of Favourite Newspapers

Breaking: Mwamposa Aachiwa Na Polisi Kwa Dhamana

0

Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro leo Jumanne 4, 2020 limewaachia kwa dhamana watu nane akiwemo Mtume na Nabii, Boniface Mwamposa wanaotuhumiwa kuendesha kongamano lililosababisha vifo vya watu 20 mjini Moshi. Msemaji wa Polisi, David Misime amethibitisha.

Leave A Reply