The House of Favourite Newspapers

Breaking: Mwanafunzi Afukiwa na Kifusi Chato, Afariki

0

Mwanafunzi mmoja kati ya wanafunzi sita wa Shule ya Msingi Maweni iliyopo Kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita, amepoteza maisha baada ya kufukiwa na kifusi cha mchanga huku wengine watano wakiwa wanaendelea na matibabu katika Kituo cha Afya Katoro.

Leave A Reply