Breaking: NEC Yaamua Rufaa 55 Wagombea Ubunge – Video
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea na zoezi la kupitia, kuchambua na kuzifanya uamuzi rufaa za wagombea ubunge zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa wasimamizi mbalimbali wa uchaguzi nchi nzima ambapo leo Septemba 8, 2020 imeamua rufaa 55 za wagombea ubungeĀ ifatavyo: