The House of Favourite Newspapers

Breaking: NEC Yaamua Rufaa 55 Wagombea Ubunge – Video

0
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles, akitoa taarifa kwa umma kuhusu zoezi la kupitia na kufanya uamuzi wa rufaa za wagombea ubunge leo Septemba 8, 2020, jijini Dar es Salaam.

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea na zoezi la kupitia, kuchambua na kuzifanya uamuzi rufaa za wagombea ubunge zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa wasimamizi mbalimbali wa uchaguzi nchi nzima ambapo leo Septemba 8, 2020 imeamua rufaa 55 za wagombea ubungeĀ  ifatavyo:

Leave A Reply