BREAKING: NECTA Yaanika Shule Nyingine Inayodaiwa Kuiba Mitihani – Video
Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani NECTA, Dkt Msonde amesema walimu wa shule zilizohusika katika udanganyifu wa mitihani ya kuhitimu Elimu ya Msingi mwaka 2018, walishirikiana kwa pamoja kupata mtihani kutoka katika Shule ya Msingi Nyanduga, Rorya mkoani Mara.
Comments are closed.