The House of Favourite Newspapers

BREAKING NEWS: KAMATI YA NIDHAMU FIFA, YAMFUNGIA WAMBURA MAISHA

Michael Wambura

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limetangaza kumfungia Michael Wambura maisha.

Kifungo hicho kinamfanya Wambura kutojihusisha na soka maisha.

Hukumu hiyo ya kamati ya maadili ya Fifa inaelezwa kukazia ile hukumu ya kamati ya rufaa ya TFF ambayo Wambura licha ya kuwa Makamu Mwenyekiti wa TFF, hakutakiwa kujihusisha na soka.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.