The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Madrid Wamtangaza Lopetegui Kuwa Kocha Mpya

Julen Lopetegui

Klabu ya Real Madrid imemtangaza Kocha wa sasa wa Hispania, Julen Lopetegui kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo na atajiunga nayo baada ya mashindano ya Kombe la Dunia

Comments are closed.