The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Mbunge wa Songea Mjini Leonidas Gama Amefariki Dunia

0
Mbunge wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama enzi za uhai wake.

Mbunge wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Peramiho alikokuwa anapatiwa matibabu.  Chanzo cha kifo chake hakikujulikana mara moja.

Marehemu alipata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Mkuu wa Wilaya kadhaa zikiwemo Ilala, Muheza, Nachingwea, Newala na Mbeya. Mola ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi – Amina

Leave A Reply