The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Rais Magufuli Ateta na Kikwete Ikulu (Picha +Video)

 

Rais John Magufuli akisalimiana na rais mstaafu wa awamu ya nne. Jakaya Kikwete  alipowasili leo Ikulu, Dar es salaam, leo Oktoba 23, 2018.

 

 

Wakizungumza.
Baada ya mazungumzo.



Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Leo Oktoba 23, amemtembelea Rais Dkt John Magufuli, Ikulu jijini Dar na kufanya mazungumzo nae.

Comments are closed.