The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Rais wa Misri, El Sisi Awasili Nchini, Apokelewa na JPM

0


IKULU: Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi amewasili hapa nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais Dkt. John Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply