The House of Favourite Newspapers

Breaking: Rais Mwinyi Ateua Mawaziri

0

Rais wa Zanzibar Dkt.Mwinyi amemteua Dkt. Saada Mkuya Salum kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu kwa Kwanza wa Rais, pia amemteua Omar Said Shaaban kuwa Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda na amemteua Nassor Mazrui kuwa Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto.

Leave A Reply