The House of Favourite Newspapers

Breaking: Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya

0

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Samia Suluhu Hassan leo Jumanne, Mei 11, 2021 amefanya uteuzi wa Majaji 7 wa Mahakama za Rufani na amemuongezea muda Jaji mmoja, pia ameteua Majaji 21 wa Mahakama Kuu.


Leave A Reply