The House of Favourite Newspapers

Breaking: Rais Samia Amsimamisha Kazi DC Sabaya

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu , leo Alhamis Mei 13, 2021 amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mhe. Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.

Leave A Reply