The House of Favourite Newspapers

Breaking: Rais Samia Atoa Pole Kwa Wafanyabiasha wa Soko la Kariakoo

0

RAIS Samia leo Julai 11, 2021 ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makala na Wafanyabiasha wa Soko Kuu la Kariakoo kufatia hasara kubwa waliyoipata kutokana na kuungua moto kwa soko Kuu la Kariakoo lililopo jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply