The House of Favourite Newspapers

Shule Ya Kinondoni Muslim Yateketea Kwa Moto -Video

0


Shule ya Sekondari ya Kinondoni Muslim ya jijini Dar es Salaam inateketea kwa moto leo Julai 17, 2020.

 

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa Kinondoni Shamba amesema alipoongea na wanafunzi wamesema chanzo ni umeme lakini bado haijathibitishwa rasmi.

 

Amesema anashukuru Mungu wameokoa wanafunzi wote na wapo wawili wamewapeleka hospitali hivyo wanafunzi wote wako salama.

 

Amesema wananchi wamejitahidi kuokoa vifaa kama computer na vinginevyo lakini juhudi zao zimegonga mwamba hivyo vilivyobaki wamewaachia Jeshi la zimamoto.

PICHA: IMELDA MTEMA |GPL

P

Leave A Reply