The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Tajiri Bongo Amjibu Musiba, Ampa Siku 3 – Video

Mfanyabiashara maarufu nchini, Subbash Pattel, leo Novemba 29, 2018 amejibu shutuma zote zilizotolewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya CZI, Cyprian Musiba kutokana na chapisho katika Gazeti la Tanzanite la Oktoba 23, 2018 lililokuwa na habari isemayo “Watu 14 Hatari Kwa Usalama wa Taifa”.

 

Subbbash kupitia Msemaji wa Kampuni ya CZI amempa siku tatu Musiba kumuomba msamaha kupitia kurasa za mbele za Gazeti lake na magazeti mengine, la sivyo atamfungulia mshataka ikiwa ni pamoja na kudai fidia ya zaidi ya shilingi milioni 500 kwa madhara aliyoyopata kutokana na chapisho hilo.

VIDEO: FUATILIA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.