The House of Favourite Newspapers

BREAKING: UVCCM WAMKINGIA KIFUA MAGUFULI – VIDEO

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Desemba 24, wamempongeza rais Dkt John Magufuli, kwa jitihada kubwa anazozifanya za kuliletea maendeleo Taifa ikiwa ni pamoja na Utiaji saini wa mradi wa kufua umemem katika mto wami (Stiglers Gorge), Uzinduzi wa ujenzi wa Daraja la Salenda, pamoja na ndege mpya ya Air Bus iliyotua nchini hapo jana.

Akizungumza na wanahabari Katibu wa Umoja wa Vijana, Raymond Mangala, amesema watanzania wanatakiwa kumuunga mkono Rais Magufuli, na si kupotezwa na wachache wanaopuuza juhudi zake.

Comments are closed.