The House of Favourite Newspapers

Breaking: Wanachama wa Yanga Wapitisha Mabadiliko ya Katiba

0
Rasmi Wanachama wa Yanga leo Juni 27, 2021 wamepitisha Mabadiliko ya Katiba yatakayowawezesha kufanya marekebisho ya Mfumo wa uendeshaji
 
Hakuna Mwanachama aliyepiga kura ya Hapana kupinga mabadiliko hayo, tasfiri yake ni kwamba mabadiliko hayo yamepitishwa kwa asilimia mia moja.
 
Mkutano Mkuu wa Mwaka 2021 unafanyika kwenye ukumbi wa DYCC, uliopo Zimbabwe Road, Temeke mkabala na Chuo cha Ualimu pamoja na Uwanja wa Benjamin Mkapa.
 
 
 
 

Leave A Reply