The House of Favourite Newspapers

BULAYA: Kwa Ufisadi Huu, Tunaipeleka Wapi Nchi – Video

Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji,  amesema ukosefu wa maji katika jimbo lake unakwamisha shughuli nyingi za maendeleo pamoja na kusababisha usumbufu kwenye mahospitali ambapo madaktari wanashindwa hata kuwafanyia wagonjwa upasuaji kwa sababu tu maji hakuna.

VIDEO: MSIKIE BULAYA AKIFUNGUKA

Comments are closed.