The House of Favourite Newspapers

BUNGE LIVE: Mkutano wa 11- Maswali na Majibu, Dodoma – Video

Kikao cha 24, mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza muda huu Bungeni mjini Dodoma, likiwa linaongozwa na Spika wa Bunge Job Ndugai ambapo wameanza na kipindi cha maswali na majibu kama kawaida yao.

Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amesema kwenye jimbo la Mtama kuna vituo vya afya vimelazimika kufungwa kwa kukosa wahudumu, kulikosababishwa na kuondolewa kwa watu wenye vyeti feki.

Comments are closed.