The House of Favourite Newspapers

BUNGENI: Prof. Jay Akipaza Sauti kwa Niaba ya Wananchi wa Kilosa (VIDEO)

0

Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule ‘Prof Jay’ (Chadema) amepaza sauti Bungeni mjini Dodoma akihoji kuhusu mradi wa bwawa la maji ambalo wananchi wa Kilosa wamekuwa wakilitumia kwa matumizi yao.

Msikie hapa akipaza sauti.

Leave A Reply