The House of Favourite Newspapers

#Cairo: Ahmed Ally Atoa Kauli Za Kishujaa Kuwavaa Ahyl – ”Sisi Sio Timu Ya Kutuchukulia Poa” -Video

0

SIMBA leo ina kibarua cha dakika tisini kuhakikisha inaweka rekodi ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya African Football League, pale itakapocheza dhidi ya Al Ahly ya Misri.

Mchezo huo wa marudiano unakuja baada ya timu hizo kutoka sare ya mabao 2-2, Ijumaa iliyopita kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Al Ahly leo watakuwa nyumbani kwenye Dimba la Cairo, mechi ikitarajiwa kuanza saa 11:00 jioni.

Leave A Reply