#Carabao: Tottenham Yaitungua West Ham
Mabao ya kipindi cha kwanza ya Steven Berwigijn na Lucas Moura yameiwezesha Tottenham Hotspur kufuzu hatua ya nusu fainali kombe la ligi EFL CUP kwa kuiondosha West Ham United kwa ushindi wa 2-1. Tottenham sasa watakutana na Chelsea kwenye nusu fainali.