×

Afya

Komamanga huzuia kansa ya matiti

Na Elvan Stambuli Leo tutatupia jicho baadhi ya tafiti zinazohusu ugonjwa wa saratani ya matiti. Uchunguzi mpya umeonyesha kwamba, katika...

READ MORE

Kutokwa na vinyama sehemu za siri (genital warts) kwa wanawake

KUTOKWA na vin­yama, mafindofindo yanayoota kwenye ngozi au utando laini unaozunguka maeneo ya siri (genital warts) ni ugonjwa unaoenezwa kwa...

READ MORE

Uvimbe katika sehemu za siri za mwanaume (SCROTAL MASSES)

Uvimbe katika sehemu za siri za mwanaume unaweza kusababishwa na matatizo mengi, mfano maambukizi katika kiwanda cha kuzalishia mbegu za...

READ MORE

Tui la nazi, nyanya, chumvi kutibu vidonda mdomoni

Vidonda vya mdomoni ni miongoni mwa matatizo yanayowasumbua watu wengi. Badala ya kuhangaika kutumia dawa za hospitali, unaweza kutumia tiba...

READ MORE

Kukosa la Kufanya ni Moja ya Chanzo cha Matumizi ya Dawa za Kulevya

Chid Benz Kuna sababu nyingi zinazochangia ongezeko la matumizi ya dawa za kulevya katika jamii. Baadhi ya sababu hizo ni...

READ MORE

Tiba zaidi ya 13 za tikitimaji mwilini

Tunda la tikitimaji au kwa Kiingereza Watermelons lina faida nyingi mwilini na hutibu baadhi ya maradhi. Tikitimaji pia ni chanzo...

READ MORE

2017 Kula Vyakula Hivi Kujikinga na Kisukari

Matunda Kisukari ni ugonjwa ulioingia kwa kasi nchini. Ni hali inayotokea wakati sukari inapozidi ile inayotakiwa katika damu kwa sababu...

READ MORE

Kulegea kwa misuli sehemu za siri za mwanamke (Vaginal Prolapse)

Wanawake wengi wenye umri mkubwa hupata maradhi ya Vaginal Prolapse yaani kulegea kwa misuli ya uke au sehemu za siri...

READ MORE

Kukosa usingizi kwa wajawazito (INSOMNIA)

Insomnia ni tatizo linalowasumbua watu wengi, ambapo hupoteza usingizi, huona maruweruwe na wakati mwingine kuweweseka nyakati za usiku. Hata hivyo,...

READ MORE

Tetekuwanga kwa watoto

Tetekuwanga ni miongoni mwa magonjwa yanayowasumbua watu wengi, hususan watoto. Ugonjwa huu husababishwa na Virusi vya Varicel Zoster na huambukizwa...

READ MORE

Usichokijua kuhusu matatizo ya tezi dume (Prostatism)

Hali hii husababisha matatizo ya mkojo kwa mwanaume na kufanya mkojo ushindwe kutoka. CHANZO CHA TATIZO Matatizo ya tezi dume...

READ MORE

Kifafa cha mimba (Eclampsia)

Yapo matatizo mengi yanayowapata wanawake wajawazito na miongoni mwa matatizo hayo, ni kifafa cha mimba (Eclampsia). Ni hali ambayo huwatokea...

READ MORE

Said Fella, ‘Upendo Ni Mimi’ Wachangia Damu Temeke

Wanachama wa Taasisi ya Upendo ni Mimi wakichangia damu katika Hospitali ya Temeke. NA GABRIEL NG’OSHA/GPL Said Fella, ‘Upendo Ni...

READ MORE

Ummy Mwalimu: Katika Watanzania 100, Watano Wana Maambukizi ya VVU

UKIMWI bado ni janga kubwa nchini kwetu. Takwimu zinaonyesha maambukizi ya VVU kwa upande wa Tanzania Bara kuwa ni #asilimia5.3....

READ MORE

Chanjo Dhidi ya Ukimwi Kuanza Kufanyiwa Majaribio Kesho Jumatano

AFRIKA KUSINI: Chanjo mpya dhidi ya virusi vinavyosababisha Ukimwi itaanza kufanyiwa majaribio nchini Afrika Kusini Jumatano wiki hii. Wanasayansi wanasema...

READ MORE

Aina za Madawa ya Kulevya na Athari Zake kwa Mtumiaji

Tatizo la madawa ya kulevya limetokea kuwa janga kubwa duniani kote, watu wengi wameathirika na janga hili. jinsia zote wanaume,...

READ MORE

“Euthanasia”: Mauaji ya Kumpunguzia Mgonjwa Maumivu, Mateso!

WIKI zilizopita, aliyekuwa mmoja wa wapiganiaji  utawala wa wengi  Afrika Kusini, Askofu Desmond Tutu,  wa Kanisa la Anglikana,  akiadhimisha mwaka...

READ MORE

Wananchi Waliopo Dar es Saalam Kupatiwa Matibabu Bure

Tangazo linaloonesha taarifa muhimu kuhusu tukio hilo la matibabu bure. Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Saalam iliyo...

READ MORE

Tango na baking soda kwa wenye UTI

Leo kwenye safu hii tutaongelea tango linavyoweza kukusaidia kutopata ugonjwa wa UTI kwani linafanya kazi kama maji mwilini. Kama wewe...

READ MORE

Vipimo Kwa Wasioshika Mimba

BAADA ya kusoma sababu za wanawake na wanaume kushindwa kushika mimba, leo tutaangazia vipimo vya kubaini tatizo. Lengo la kufanya...

READ MORE

Njemba Yaiba Helikopta, Yaenda Kutua Ikulu

Hebu vuta picha, walinzi wa ikulu wakiwa kwenye harakati zao za kuhakikisha ikulu ipo salama, ghafla inatokea helikopta kutoka kusikojulikana,...

READ MORE

Tatizo la kutokupevuka kwa mfumo wa uzazi

HALI hii hutokana na viungo vya uzalishaji wa vichocheo vya uimarishaji uzazi kwa mwanamke na mwanaume kutofanya kazi. Viungo au...

READ MORE

Mwanamke kutokuwa na uwezo wa tendo la ndoa

Tunapozungumzia mwanamke kukosa uwezo wa tendo hili la kujamiiana hapa tunamaanisha anakuwa hana hamu ya tendo hilo au hata akilifanya...

READ MORE

Sababu za Mwanaume Kushindwa Kumpa Mimba Mwanamke

WATU wengi wamekuwa wakidhani kuwa mwanamke pekee ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha anapata mimba na ikitokea akakaa muda mrefu kwenye...

READ MORE

Mambo ya kuzingatia kabla ya kuwa mjamzito

UJAUZITO ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi...

READ MORE

Jinsi ya kupata nywele ngumu na kuzijaza

WIKI hii kwenye kona ya urembo tutaongelea njia sahihi ya kukuza nywele na kuzifanya ziwe ngumu, zisikatikekatike pia kuzipa rangi...

READ MORE

Chanzo hasa cha upungufu wa nguvu za kiume-3

Leo tunakamilisha mfululizo wetu wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa kuangalia suluhisho lake. Tumeona kwamba upungufu wa...

READ MORE

Matango, aloe vera, limao kwa kuondoa usugu kwapani

WEUSI KWAPANI Matango ni moja ya dawa nzuri inayoweza kuondoa weusi wa ngozi ya kwapani, kama una tatizo hilo changanya...

READ MORE

Matatizo Ya Uzazi Kwa Wanawake

Kama tulivyoona wiki iliyopita, matatizo ya uzazi kwa wanawake yapo katika makundi matatu. Kuna tatizo la upevushaji mayai. Tatizo hili...

READ MORE

Parachichi ni tiba katika miili yetu

WAKATI huu ni msimu wa tunda la parachichi Wazungu huliita avocado. Sehemu nyingi tunda hili linapatikana ama kwa kuuzwa tena...

READ MORE

Athari ya kitambi kiafya

Kitambi ni hali ya kiafya ya mtu mnene ambapo mafuta ya ziada mwilini huongezeka eneo la tumbo kwa kiasi kikubwa....

READ MORE

Ugonjwa wa malaria hatari kwa mjamzito

Mtaalam Mandai MALARIA ni maambukizi ya seli nyekundu za damu inayosababishwa na vimelea vinavyoitwa kitaalamu, Plasmodiumu. Plasmodiumu hawa husambazwa na...

READ MORE

Zijue sababu za watoto kuharisha -2

Inaendelea toka wiki iliyopita Watoto wachanga chini ya miezi 3 wanapata sehemu ya kinga (Antibodies) kutoka kwa mama anayenyonyesha na...

READ MORE

Ngozi yako imekufa? Maziwa ya unga yatakusaidia

Watu wengi sasa hivi wameharibika nyuso zao kutokana na hali ya upepo ambao unasababisha ngozi kuwa mbaya na wengi wamejikuta...

READ MORE

Chanzo hasa cha upungufu wa nguvu za kiume-2

Upungufu wa nguvu za kiume siyo ugonjwa ila ni dalili ambayo ndani yake inaweza kuwa na magonjwa mengi au sababu...

READ MORE

Magonjwa yanayotoa usaha, majimaji sehemu za siri

KUNA magonjwa mengi ambayo watu hukumbana nayo lakini leo tutajadili magonjwa ambayo hutoa majimaji au usaha sehemu za siri na...

READ MORE

Sababu za Mwanamke Kutoshika Mimba

Utafiti wa Chama Cha Madaktari Bingwa wa Akina Mama (FIGO) mwaka 1990 ulionesha kuwa sababu kuu  ya mwanamke kutoshika mimba...

READ MORE

Faida ya kunywa maziwa mtindi

Maziwa yaliyochachishwa  maarufu kama mtindi ni miongoni mwa vyakula bora kutokana na kuwa na virutubisho vingi vya aina mbalimbali ambavyo...

READ MORE

Zijue sababu za watoto kuharisha

Kuharisha kwa watoto ni tatizo linaloshika nafasi ya pili duniani kwa kusababisha vifo miongoni mwa watoto chini ya miaka mitano....

READ MORE

Kushindwa Kupata Mimba (Infetility)

Moja ya matatizo yaliyoko katika jamii zetu na yamesababisha wanandoa wengi au wanawake wengi kukosa furaha ni baada ya mama...

READ MORE