×

Amani

Madai Jack Chuz aachika tena

IMELDA MTEMA STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Steven Pentezel ‘Jack Chuz’ aliyekuwa akiishi na mumewe, Gadna Dibibi anadaiwa kuachika kwa...

READ MORE

TRA yapiga mnada Range la Wema!

Wema Sepetu Gladness Mallya, Amani DAR ES SALAAM: Bila huruma! Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeliingiza sokoni lile gari la...

READ MORE

Darasa: Bila mimi hakuna Mavoko

Sharif Ramadhani ‘Darasa’ BONIPHACE NGUMIJE MWANAMUZIKI wa Hip Hop Bongo anayetamba na Ngoma ya Too Much, Sharif Ramadhani ‘Darasa’ amefunguka...

READ MORE

Mama Wema amtimua Kadinda umeneja!

Mama mzazi wa Wema, Mariam Sepetu AR ES SALAAM: Mbunifu wa mitindo mbalimbali ya nguo kama ‘Kwachukwachu’ na nyingine, Martin...

READ MORE

Linex amfungukia video queen wake!

Erycah IMELDA MTEMA STAA wa Bongo Fleva anayetikisa na Ngoma ya Hewala, Sunday Mangu ‘Linex’ kwa mara ya kwanza amemfungukia...

READ MORE

Licha ya Nay wa Mitego… TRA wamhenyesha Diamond siku 7

Nasibu Abdul ‘Diamond’ MUSA MATEJA, Amani DAR ES SALAAM: Imevuja! Siku chache baada ya Mbongo Fleva, Emanuel Elibariki ‘Nay wa...

READ MORE

Mtumishi wa bandari ajinyonga

 Lucas Kazimoto enzi za uhai wake. Waandishi wetu, Amani DAR ES SALAAM: Mtumishi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Lucas...

READ MORE

Skaina: Sitaki kuolewa tena

Imelda Mtema STAA wa filamu Bongo, Skyner Ally ‘Skaina’ amefunguka kuwa hahitaji kuolewa tena wala kusikia kitu kinachoitwa ndoa katika...

READ MORE

Wema: Licha ya kuniacha, nitazaa na Idris

Idris Sultan na Wema Sepetu Imelda Mtema LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu wamemwagana, muigizaji...

READ MORE

Ester Kiama ajutia uigizaji

Imelda Mtema MSANII kutoka Bongo Muvi, Ester Kiama amesema anajutia kujiingiza katika fani hiyo aliyoitamani muda mrefu baada ya kuona...

READ MORE

Mobeto ataka kumuua Zari kwa presha!

Musa Mateja, Amani DAR ES SALAAM: Mrembo anayetikisa kwa sasa kwenye kizazi cha mitindo Bongo, Hamisa Hassan Mobeto, anadaiwa kutaka...

READ MORE

Daktari feki Moro, mapya tena!

Daktari feki, Zakaria Benjamin Migomba akiadhibiwa baada ya kukamatwa kabla ya kupelekwa kituoni. MOROGORO: Mambo mapya yameibuka kufuatia kukamatwa kwa...

READ MORE

Kilichowaponza akina Dk. Mwaka chafichuka!

Tabibu Fadhili Emily Mwandishi wetu, Amani DAR ES SALAAM: Kimenuka! Juzi, Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limekifutia...

READ MORE

Lulu awehuka mbele ya mama yake!

Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama’ke mzazi, Lucresia Karugila. Dar es Salaam: Ni laana? Katika hali ya kushangaza, mwigizaji asiyeonekana lokesheni...

READ MORE

Uwoya: Nikilala, nikiamka nawaza siasa tu

Imelda Mtema STAA mkali Bongo Muvi, Irene Uwoya amefunguka kuwa bado hajakata tamaa ya kuwa mwanasiasa japokuwa mwaka jana alishindwa...

READ MORE

Rayuu akacha shisha

MAYASA MARIWATA MSANII wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ aliyewahi kuripotiwa kuwa mtumiaji mzuri wa kilevi cha shisha, amesema kuwa,...

READ MORE

Shamsa adaiwa kuchumbiwa

Mayasa Mariwata UBUYU uliokolea rangi jijini ni kwamba staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford anadaiwa kuchumbiwa na mfanyabiashara maarufu Bongo,...

READ MORE

Linah Kivazi Chake Chazua Gumzo

    Esterina Sanga ‘Linah’ MWANDISHI WETU KIVAZI cha staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Esterina Sanga ‘Linah’ alichokivaa usiku wa...

READ MORE

Madee: Dogo Janja ameanza kung’aa kimataifa

Madee BONIPHACE NGUMIJE MKALI wa Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ ameweka wazi mipango ya msanii wake, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’...

READ MORE

Nelly; Nimesoma magazeti ya Global kwa miaka 18

Nelly Mwangosi na mumewe. NA FRANCIS GODWIN, IRINGA NELLY Mwangosi, mwanamama mwenye umri wa miaka 45, mkazi wa Kibwabwa Kata...

READ MORE

Ukweli mtu aliyekamatwa na kichwa cha mtu

Na Mwandishi Wetu, AMANI Mbeya: Taharuki Imezuka mjini hapa baada ya kuenea kwa picha za mtu (pichani) anayedaiwa kukamatwa mkoani...

READ MORE

Wagonjwa watekwa, muuguzi anusurika kubakwa

Na Joseph Ngilisho, AMANI ARUSHA: Muuguzi wa Kituo cha Afya cha Mbuguni wilayani Arumeru jijini hapa, Paulina Mafembo na wagonjwa...

READ MORE

Babu Seya, Papii wamwangukia JPM

STORI: MWANDISHI WETU, AMANI MWANAMUZIKI Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ ambao wanasota jela kwa kosa...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awakomesha mastaa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa STORI: MWANDISHI WETU, AMANI DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu wa...

READ MORE

Shela la Nancy lazua gumzo

NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM: Shela alilovaa Miss Tanzania 2005, Nancy Abraham Sumary alipokuwa akifunga ndoa na mchumba’ke, Lucas...

READ MORE

Kisa Riyama… Mwana achaniwa nguo!

Riyama Ally NA IMELDA MTEMA DAR ES SALAAM: Msanii wa filamu anayekuja kwa kasi Bongo, Mwanaheri Ahmed hivi karibuni alikumbwa...

READ MORE

Aunt Lulu apigwa stop na mama yake kujirusha!

NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM: Mrembo mwenye ‘taito’ ya utangazaji na uigizaji Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunt Lulu’ anadaiwa...

READ MORE

Laana ya baba ‘Yammaliza’ Diamond!

Stori: Mwandishi Wetu, Ijumaa Dar es Salaam: Waswahili wanasema, endapo mtoto atamfanyia mzazi wake jambo la kumuumiza, hata kama mzazi...

READ MORE

Mnorway kumng’arisha Malaika

Carl Hovind PRODYUZA aliyetengeneza Ngoma ya My Life ya Dogo Janja, Carl Hovind anatarajia kutua Bongo kumng’arisha staa wa Bongo...

READ MORE

Shilole kutafuta mume kijijini

IMELDA MTEMA MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila...

READ MORE

Wema afungukia ugomvi wake na Aunt

Wema Sepetu na Aunt Ezekiel. IMELDA MTEMA, Amani STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefungukia ugomvi ambao hutokea mara kwa...

READ MORE

Maswali 5 profesa kujipiga risasi

   Profesa Iddi Suleiman Nyangarika Mkilaha enzi za uhai wake. Mwandishi wetu, Amani DAR ES SALAAM: Majozi! Kifo cha Profesa...

READ MORE

Mwenge wa Uhuru wachoma madawa ya kulevya

Stephano Mango, Amani RUVUMA: Vita imepamba moto! Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2016, George Mbijima akiwa na...

READ MORE

Penina amwaga chozi

Jennifer Raymond ‘Penina’ Mwandishi wetu, Amani MSANII wa Bongo Muvi anayefanya poa, Jennifer Raymond ‘Penina’ hivi karibuni alijikuta akitokwa na...

READ MORE

Esha Buheti ageukia pombe

IMELDA MTEMA, Amani MKALI wa filamu za Kibongo, Esha Buheti ameweka wazi kwamba hivi sasa ameamua kugeukia pombe kutokana na...

READ MORE

Snura ahofia ‘Chura’ kupotea!

IMELDA MTEMA, Amani STAA wa Muziki wa Mduara, Snura Mushi ‘Snura’ amefunguka kuwa hakuna kitu kinachomuogopesha kwa sasa kama kufanya...

READ MORE

DK Kijo Bisimba aifungukia adhabu ya kifo

Mkurugenzi Mtendai wa Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), Dk Hellen Kijo Bisimba Elvan Stambuli, Amani Dar es Salaam:...

READ MORE

Uwoya Aitwa Ikulu ya Kenya

Irene Pancras Uwoya. IMELDA MTEMA, amani DAR ES SALAAM: Zali! Kuna madai kwamba, Rais wa Kenya, Uhuru Jomo Kenyatta amempa...

READ MORE