×

Amani

Kwa miaka 10 ya ustaa, mtungo wa Wema kiboko

Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Mwandishi Wetu, AMANI DAR ES SALAAM: Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ (27), ametimiza miaka 10 ya ustaa...

READ MORE

Waoga maji ya sumu, wababuka

Mmoja wa waathilika wa maji hayo akiwa amebabuka shingono. Wakizungumza kwa nyakati tofauti hivi karibuni, baadhi ya wakazi wa vijiji...

READ MORE

Familia yamfanya ndondocha mtoto wao

Kijana Fred Bryson Mmari anayedaiwa kufanywa ndondocha na familia yake. KILIMANJARO: Kha! Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Naomi Bryson anashikiliwa...

READ MORE

Bongo Movie, Bongo Fleva waingia vitani

Mbongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego. DAR ES SALAAM: Kimenuka! Harufu ya damu inanukia ndani ya tasnia za Bongo...

READ MORE

Bi Mwenda: Agoma Kufungukia Uchawi, Mme na Watoto

Bi Mwenda. Katika kolamu hii tunayowaletea wasanii mbalimbali wa filamu kila wiki, leo tunaye nguli wa filamu Bongo, Fatuma Makongoro...

READ MORE

‘Msukule’ nyumbani kwa tajiri aibua mazito

Juhudi za kumtoa shimoni zikiendelea. Mayasa mariwata, AMANI DAR ES SALAAM: YULE mwanadada aliyekutwa kwenye shimo la majitaka ambalo halijaanza...

READ MORE

Kwa hali hii Nchi inaliwa!

Makongoro oging’, AMANI DAR ES SALAAM: Da! Wakati Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ akiendelea kutumbua majipu kwa vigogo mbalimbali serikalini,...

READ MORE

Range la Wema layeyuka

   Staa wa muvi za Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu (kushoto) akiwa na gari yake gari aina ya Range...

READ MORE

OFM yanusa jipu kivuko …

DAR ES SALAAM: Kikosi Maalum cha Global Publishers cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ limenusa jipu katika Kivuko cha Kigamboni, Dar,...

READ MORE

Mh! Eti Gilla ajipanga kumpindua Tunda

MAYASA MARIWATA TUMEINYAKA! Eti yule msanii wa filamu Bongo Glasnost Kalinga ‘Gilla’ amesema kuwa, miongoni mwa vitu vinavyomchoma kumoyo kwa...

READ MORE

Hii sasa ni vita Zari, wema wapambana

Wema Isaac Sepetu. DAR ES SALAAM: Hii sasa ni vita! Mpambano mkali umeibuka kwa mara nyingine kati ya Miss Tanzania...

READ MORE

Fomu za kupata utajiri zauzwa Freemason

Nembo ya Freemason. DAR ES SALAAM: Ona hawa! Huku Serikali ya Rais John Magufuli ‘JPM’  ikidhibiti kila aina ya upigaji...

READ MORE

Bahati Bukuku Aishiwa Nguvu

Mwimba Injili mahiri Bongo, Bahati Bukuku akiwa na huzuni baada ya kufiwa na mama yake. DAR ES SALAAM: Pole! Mwimba...

READ MORE

Dotnata, Pacha Wake Majanga

Staa mkongwe kwenye sinema za Bongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’ akiingizwa kwenye gari la wagonjwa. DAR ES SALAAM: Staa mkongwe kwenye...

READ MORE

Mastaa Hawa na Mchezo Huu Vepeee?

Wema Sepetu na Aunt Ezekiel Miongoni mwa mastaa wa filamu na muziki Bongo wamekuwa na viashiria vya vitendo visivyofaa hasa...

READ MORE

Lulu: Mama amenistiri sana!

Staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa hakuna wa kumthamini na...

READ MORE

Zari aokoka, abatizwa

Mzazi mwenzake Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ MUSA MATEJA, AMANI DAR ES SALAAM: Siri nzito imefichuka baada...

READ MORE

Wastara ampa masharti magumu Bond

Wastara Juma na Bond Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amempa wakati mgumu aliyekuwa mwandani wake ambaye pia ni meneja...

READ MORE

Miss TZ apewa talaka

Miss Tanzania 2011, Salha Israel. IMELDA MTEMA, AMANI DAR ES SALAAM:Ndoa ya Miss Tanzania 2011, Salha Israel aliyofunga na Abdulatif...

READ MORE

Miss Tanzania ataka namba ya Samatta

Mshiriki wa Miss Tanzania 2005 ambaye pia ni mcheza fi lamu, Maureen Gislary. Imelda Mtema,Dar es Salaam MSHIRIKI wa Miss...

READ MORE

Gilla akiri kutoka na mchekeshaji maarufu

Na Suzan Kayogela MSANII wa filamu Bongo, Glasnost Kalinga ‘Gilla’ amekiri kutoka kimalovee na mchekeshaji mahiri Bongo (jina linahifadhiwa) na...

READ MORE

Polisi wamsaka mrembo

Juliana Elias akiwa na mtoto wake kabla ya kumtelekeza. DAR ES SALAAM: Mrembo Juliana Elias Komba (18), anasakwa na Jeshi...

READ MORE

Shikamoo JPM

Moja ya baa ikiwa haina wateja. DAR ES SALAAM: Msoto mkali! Ile tumbuatumbua majipu ya Rais Dk. Joseph Pombe Magufuli...

READ MORE

Nay ajisalimisha TRA

Mbongo Fleva Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’. MUSA MATEJA KUFUATIA kasi ya utumbuaji majipu wa Rais DK. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Harusi ya Karne Bongo, Kupiga Picha Kenya, Honeymoon Ugiriki

Maharusi, James Katagila na Prugensiana Kahandukahao (waliopo katikati) wakipendeza katika pozi na wapambe wao. HARUSI ya karne Bongo ndilo neno linalopendeza...

READ MORE

Bomoa bomoa mahekalu Dar, ripoti inatisha

Tingatinga likiendelea na kazi ya ubomoaji. HALI tete! Kufuatia Mahakama ya Ardhi, Dar kutengua bomoabomoa ya nyumba 674, bado ripoti...

READ MORE

Mama Diamond kurudi Tandale, kumpisha Zari

Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah. KUNA madai kwamba, mama wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim ‘Sandra’ yupo...

READ MORE

Shilole afanya pati ya aibu!

Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akicheza sebene. AMA kweli mapenzi yana sarakasi! Ndiyo kauli inayoweza kukuponyoka kufuatia tukio...

READ MORE

Mke alivyomuua mumewe kikatili na kumfukia!

Mwanamke aliyezungushiwa duara jekundu ndiye anayedaiwa kumuua mumewe na kumfukia. NI simulizi ya kushangaza kufuatia Archard Frederick (41), kudaiwa kupigwa...

READ MORE

Baby Madaha aanguka chooni, avunjika mguu

Msanii wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha akiwa na  P.O.P mguuni. Musa mateja MSANII wa filamu na Bongo...

READ MORE

Serikali ya Magufuli yambana Zari

Zarinah Hassan ‘Zari’. HAPA Kazi Tu! Serikali ya Rais Dk. John Pombe Magufuli inazidi kuwanyoosha wakwepa kodi na sasa zamu...

READ MORE

Bella kuonjesha Acha Kabisa Dar Live

Andrew Carlos KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuonjesha ngoma yake mpya aliyomshirikisha mkongwe wa muziki kutoka...

READ MORE

Talaka feki yawarudisha watoto nyumbani

WAKATI Wakristo duniani kote wakijiandaa na Sikukuu ya Krismasi, watoto wa familia moja Kisesa, Mwanza, wamejikuta wakiikaribisha sikukuu hiyo kwa...

READ MORE

Joanita: Filamu zetu unaangalia hata na mkweo

Msanii wa ‘long time’ kwenye ulimwengu wa uigizaji Bongo, Fatuma Makame ‘Joanita’ amesema kuwa, filamu zinazoandaliwa na kampuni inayoandaa na...

READ MORE

Pata punguzo la tiketi za Diamond Dar Live

  Mwandishi wetu KAMPUNI ya simu za mkononi, Airtel kupitia huduma yao ya kijanja kimawasiliano ya Airtel Money Tap Tap...

READ MORE

Mjengo Mpya wa Wema… Utata!

Muonekano wa mjengo huo. Stori: Na Musa Mateja UTATA umegubika kuhusu umiliki wa mjengo aliohamia staa wa filamu Bongo, Wema...

READ MORE

Diamond: Nitaandika historia mpya Dar Live

Diamond akiwasalimia mashabiki wake, juzi katika  eneo la Karume, Ilala jijini Dar. Musa Mateja ZIKIWA zimesalia saa kadhaa kufika Sikukuu...

READ MORE

Flora, Riyama wafunikana kukata nyonga ukumbini

Flora Mvungi. Na Musa Mateja STAA wa filamu Bongo, Flora Mvungi na shostito wake, Riyama Ally juzikati walijikuta wakigeuka kivutio...

READ MORE