×

Amani

AY Asimulia alivyoitwa na P.Square

WIKI iliyopita nilizungumza namna ambavyo nilishtushwa na kitendo cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ kukataza video ya wimbo wangu wa...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili-16

Ilipoishia wiki iliyopita: “Mama Kisu, yule mwanaume ni pacha wa baba Kisu?” Endelea mwenyewe sasa: “Kwa nini?” nilimuuliza yule mwanamke....

READ MORE

Aharibiwa sura kwa maji ya moto kisa, kula chabo!

Naam tumekutana tena kwenye kona yetu mpya ya mzee wa Chabo. Nina imani unataka kujua wakati wa ujana wangu nilikuwa...

READ MORE

Wanaokwenda kupewa ofa baa utawajua tu!

WANAPOONGOZANA watu kadhaa kwenda baa kunywa pombe au vinywaji vingine, mwenye pesa utamjua tu na wanaopelekwa kupewa ofa pia utawajua!...

READ MORE

Wauza Filamu Bongo Vilio!

Wauza filamu hao na maduka yao yakiwa yamefungwa na TRA. Na Mayasa Mariwata, AMANI DAR ES SALAAM: Kufuatia agizo la...

READ MORE

Denti azaliwa na gonjwa hatari kutoka mikoani

Hassan Mharami na mama yake mzazi, Mariam Bujimu. Na Idd Mumba, AMANI MWANZA: Kweli Mungu ndiye muweza wa kila jambo!...

READ MORE

Daktari: Ray kupata magonjwa 10 hatari kama anatumia mkorogo

Na Mwandishi Wetu, AMANI DAR ES SALAAM: Lile sakata la nyota wa sinema Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kudai kwamba, siku hizi amekuwa mweupe pee kwa sababu...

READ MORE

Roma afungukia uhusiano wake na dada’ke Kiba

Staa wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’. SIKU chache baada ya kuzagaa picha zikimhusisha staa wa Hip Hop...

READ MORE

Asha Baraka atoa neno zito mazishi ya mama Banza

Mkurugenzi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka. GLADNESS MALLYA, AMANI DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Bendi...

READ MORE

Simulizi ya Maisha ya AY: Ataja sifa za mwanamke amtakaye

WIKI iliyopita tuliishia pale nilipoeleza kuwa pamoja na mafanikio niliyonayo ila sijafanikiwa kupata mtoto wala wa kusingiziwa na hii ni...

READ MORE

Hirizi ya Jambazi Yazua Balaa

Hirizi ya jambazi huyo ikiwa shingoni. WAANDISHI WETU, AMANI Uvamizi wa majambazi kwenye Benki ya Access, Tawi la Mbagala Rangi...

READ MORE

Ray C, Hali Tete

Rehema Chalamila ‘Ray C’ baada ya hali kuwa tete (picha na maktaba). MUSA MATEJA, AMANI DAR ES SALAAM: Hali ya...

READ MORE

Afungukia uhusiano wake na Amani, watoto

Wiki iliyopita niliishia pale nilipokueleza msomaji wangu kuwa makala haya ni ya maisha yangu halisi nimeandika kwa lengo la kukuhamasisha...

READ MORE

Imevuja! Wanaowajaza Mimba ombaomba Wajulikana

Familia za ombaomba hao. DAR ES SALAAM: Imevuja! Wakati wimbi la wananchi kuingia jijini Dar es Salaam kutoka mikoani na...

READ MORE

Ticha mbaroni kwa kutupa mtoto chooni kwa Mchungaji

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka Singida: Jeshi la Polisi mkoani Singida limemtia mbaroni Monica Munishi (22), mkazi...

READ MORE

Tumbua Tumbua ya JPM, Vigogo Hawa Wingu Jeusi

Rished Bade DAR ES SALAAM: Ni wingu jeusi kwao! Mpaka sasa, Rais  Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ ameshawatumbua majipu karibu...

READ MORE

Lulu adaiwa kulipiwa mahari

Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Dar es Salaam: Wakati akikanusha vikali taarifa mbaya za kuzushiwa kifo mwishoni...

READ MORE

Ray: Kama huamini sikulazimishi, mi maji yananing’arisha!

Staa wa Bongo Muvi, Vincent Kigosi ‘Ray’. Makala: Suzan Kayogela HIVI kari-buni gumzo kubwa mitaani pamoja na kwenye mitandao mingi...

READ MORE

Magufuli amtafuta Malaika

Msanii wa Bongo Fleva, Diana Malaika Exavery ‘Malaika’. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli hivi karibuni...

READ MORE

Tamasha la Changia Damu kufanyika leo

Tamasha la Changia Damu Okoa Maisha linatarajiwa kuanza leo katika Uwanja wa Karume, jijini Dar es Salaam ambapo pia kutakuwa...

READ MORE

Mabeste naye kutoa Nakuchana Leo

Staa wa Hip Hop, Venance Mabeste. ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu mastaa wa Muziki wa R&B Bongo, Bernad Paul ‘Ben...

READ MORE

Zari akubali kumpeleka Tiffah kwa baba Diamond

Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa na mwanaye Tiffah. DAR ES SALAAM: Exclusive! Baada ya mjadala wa muda mrefu,...

READ MORE

Oya masela…. hata kama umetoboa lakini unaboa!

Inakuwaje masela wangu wa ukwehe? Ndo kama hivo mazee nipo fiti yaani chuma kabisa, nimetokea hapa ubaoni kibabe kukisanua ama...

READ MORE

Somo la Mr. English lawakolea mastaa

MASTAA mbalimbali Bongo wamefunguka kuwa wanamkubali mtaalam wa Lugha ya Kingereza, Qrian James ‘Mr. English’ kwani anawapa mwanga wa kufanya...

READ MORE

Milioni 7 zamtia mbaroni Alain Mulumba

Richard Bukos INADAIWA kuwa zaidi ya shilingi milioni saba zimesa-babisha kutiwa mbaroni msanii wa Muziki wa Dansi Bongo, Alain Mulumba...

READ MORE

Idris Ajipoza kwa Lulu

Musa Mateja, AMANI Dar es Salaam: Siku chache baada ya taarifa za kutoka kwa mimba ya mwandani wake, Wema Isaac...

READ MORE

John woka amekufa na mashairi yake kichwani

Makala: OJUKU ABRAHAM MICHAEL Dennis Muhina maarufu zaidi kama John Woka amefariki dunia alfajiri ya Jumanne wiki hii na kwa...

READ MORE

Hekalu la Dogo TRA ni Jipu

Na Waandishi Wetu, AMANI DAR ES SALAAM: Baadhi ya wananchi waliozungumza na gazeti hili wameonesha kushtushwa kwao kufuatia mfanyakazi mmoja...

READ MORE

Hii Ndiyo Hatari ya Diamond

Na Mwandishi Wetu, AMANI Dar es Salaam: ‘Uswahilini’ kuna msemo kwamba, mwanaume au kijana rijali ni yule mwenye rekodi ya...

READ MORE

Dallas wa Wolper afunga ndoa

ALIYEKUWA mchumba wa staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper, Ramadhan Mtoro ‘Dallas’ inadaiwa kuwa hivi karibuni amefunga ndoa na mwanamke...

READ MORE

Belle 9 ajuta kujichanganya viwanja

STAA wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle9’. Imelda Mtema STAA wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle9’ kwa mara ya kwanza...

READ MORE

OFM Kazini Yamnasa Mke wa Mtu Akichepuka

DAR ES SALAAM! Kumbe kuchepuka hakuna umri bwana! Mwanamke ambaye jina linapigwa ‘tinted’ kwa sasa, Ijumaa     iliyopita alinaswa akiingia kwenye...

READ MORE

Mchungaji afumaniwa, apigwa faini Sh. 400,000

MWANZA: Mchungaji wa kanisa moja la kiroho lililopo Igoma jijini Mwanza aliyejulikana kwa jina moja la Michael (36), amelipa faini...

READ MORE

Mbunge amrejesha Zerish Bongo Muvi

Mayasa Mariwata MBUNGE wa Morogoro Kusini, Prosper Mbena amemrejesha kwenye ulingo mkongwe wa filamu Bongo, Hellen Luanda ‘Zerish’ baada ya...

READ MORE

Moto wa Ajabu Wateketeza Nyumba Tatu

Baadhi ya vitu vikiwa vimeungua KAGERA: Familia tatu ikiwemo ya Wilfrida Patrice katika Kijiji cha Omukagando Kata ya Mabira Wilaya...

READ MORE

Flora Mvungi mimba tena!

Staa wa Bongo Muvi, Flora Mvungi na ‘kibendi’ chake. DAR ES SALAAM: Makubwa! Ikiwa mtoto wake wa pili akiwa angali...

READ MORE

Mrembo Adaiwa Kutelekeza Mwanaye Kisa Mlemavu

Mtoto Ilham Mohamed ARUSHA: Hujafa  hujaumbika! Mtoto Ilham Mohamed  19, (pichani) mkazi wa Ngarenaro jijini hapa amezaliwa akiwa na ulemavu...

READ MORE

Baada ya kuachana na Shilole… Nuh Mziwanda adaiwa kufulia

Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ Gladness Mallya IMEVUJA! Zikiwa zimepita siku chache tangu wasanii waliokuwa wapenzi, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Naftar...

READ MORE

Mama Kija ya Tunda Man nyuma ya pazia

Andrew Carlos KILA staa wa Bongo Fleva hivi sasa ameelekezea kutoka kimataifa ili kujitambulisha na kuitambulisha nchi na pia wapo...

READ MORE

Nuh Mziwanda amwangukia Shilole

STAA wa Wimbo wa Msondo Ngoma, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’. Musa Mateja, AMANI STAA wa Wimbo wa Msondo Ngoma, Naftari...

READ MORE