Kamanda wa polisi Mkoa wa Temeke, Amon Kakwale amekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba limesitisha tamasha la...
READ MORETAARIFA zilizotufikia hivi punde zimeeleza kuwa lori la mizigo limeungua kaa moto, majira ya saa 4:45 usiku huu wa Januari...
READ MOREMBUNGE wa zamani wa Mpwapwa mkoani Dodoma nchini Tanzania, Gregory Teu, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kujisikia...
READ MOREKLABU ya soka ya Uingereza, Chelsea, imemfuta kazi kocha wake mkuu, Frank Lampard, kutokana na mwendelezo mbaya wa matokeo ya...
READ MOREWATU watano wamejeruhiwa wakati basi la abiria kampuni ya Simba Mtoto linalofanya safari zake kati ya Dodoma na Tanga kupata...
READ MOREUONGOZI wa Klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kocha wake mkuu, Sven Vandenbroeck, kwa makubaliano ya pande mbili. Nafasi...
READ MORETRENI ya abiria iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Bara (Mwanza, Mpanda na Kigoma kupitia Tabora) imepata ajali Wilayani Bahi...
READ MORERAIS John Magufuli, leo Desemba 28, 2020 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Revocatus...
READ MOREMOTO umeunguza maduka zaidi ya 10 na kuteketeza baadhi ya vitu katika majengo yanayomilikiwa na familia ya Nekemia Kazimoto yaliyopo...
READ MOREJENGO la ghorofa linalofahamika kama House of Wonders au Palace of Wonders (Beit Al Ajaib) lililopo Stone Town, Zanzibar limeanguka...
READ MOREMAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza leo Desemba 24, 2020, imewahukumu washtakiwa wanne katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa...
READ MOREWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jafo, leo Desemba 21, 2020,...
READ MOREMAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu Mahakama ya Mafisadi, imemhukumu mfanyabiashara maarufu nchini, Ayubu Kiboko...
READ MOREMTOTO mmoja amefariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia basi la Kampuni ya Frester lenye namba za usajili T 965...
READ MOREMSANII mkongwe wa michezo ya runingani na filamu za Kibongo, Mohamed Fungafunga almaarufu Mzee Jengua, amefariki leo, Desemba 15,...
READ MOREMWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel...
READ MORERais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, Desemba 14, 2020 ametengua uteuzi wa Katibu wa rais, Suleiman Ahmed Saleh na...
READ MOREMWANAMKE mmoja wilayani Uvinza mkoani Kigoma, amejifungua kuku katika kituo cha Afya Uvinza baada ya kufika kituoni hapo akidai anapata...
READ MORERAIS Dokta John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania...
READ MOREKIONGOZI wa kundi la Boko Haram, Abubakar Shekau, amesema kundi lake ndilo lililohusika na mauaji ya wakulima 78 katika eneo...
READ MOREHALIMA MDEE na wenzake 18 waliovuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Kamati Kuu ya chama hicho...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefanya uteuzi wa Wabunge wawili kwenye Bunge la Jamhuri ya...
READ MOREWatu sita akiwemo padri wa kanisa katoliki parokia ya Masaktas jimbo la Mbulu mkoani Manyara, Sixtus Masawe wamefariki dunia katika...
READ MOREMKONGWE wa soka raia wa Argentina, Diego Maradona amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 60 kwa mshtuko wa moyo,...
READ MOREDIWANI mteule Kata ya Kikongo, Kibaha Vijijini (CCM), Fatuma Ngozi na wajukuu zake wawili wamekufa baada ya nyumba yake kuchomwa...
READ MOREALIYKUWA Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya...
READ MORETUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dkt. John Pombe Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa kiti...
READ MOREWATU 13 wamefariki dunia na wengine 11 wamejeruhiwa mkoani Kagera kufuatia ajali ya basi la Emirates ambalo hufanya safari zake...
READ MOREWAZIRI wa Mambo ya Nje, Prof. Palamagamba Kabudi, amepata ajali ya gari eneo la Kihonda, na Morogoro, amepelekwa katika Hospitali...
READ MOREWATU watano wa familia moja akiwemo mama, watoto wake watatu na wifi yake, wamepoteza maisha baada ya nyumba yao kuwaka...
READ MORENyumba namba 50, iliyopo mtaa wa Sinza D, Vatican jijini Dar es salaam, imeteketea kwa moto leo Jumatatu, Oktoba 12,...
READ MOREMOTO umezuka Mlima Kilimanjaro jana, Jumapili, Oktoba 11, 2020, mchana na jitihada za kuuzima bado zilikuwa ainaendelea. ...
READ MOREKIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amepata ajali ya gari katika Kijiji cha Kalia, mkoani Kigoma, ...
READ MOREKAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsimamisha mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
READ MOREMOTO mkubwa umeibuka na kuteketeza nyumba za watu na vibanda vya biashara katika maeneo ya Keko jijini Dar es Saalam...
READ MOREGari alilokuwa akiitumia Mgombea Mwenza wa Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...
READ MOREALIYEKUWA Ofisa Mnadhimu wa Chuo cha Polisi Moshi (CCP), Jonathan Shana, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano, Septemba 16,...
READ MOREJaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11,...
READ MOREWATU wanane, kati yao watatu wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 mpaka 40, na watoto watano wanaokadiriwa kuwa na...
READ MOREWASANII wa Bongo Fleva, Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau, wamepata ajali ya gari alfajiri ya leo,...
READ MORE