×

Breaking News

Tanzia: Mtangazaji wa ITV Agnes Almas Afariki Dunia

MWANDISHI wa habari na mtangazaji wa kituo cha televisheni cha ITV, Agnes Almas,  amefariki dunia ghafla mchana wa leo Alhamisi,...

READ MORE

Dodoma: Basi la Ally’s Lateketea kwa Moto – Video

Basi la Kampuni ya Ally’s linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limeteketea kwa moto eneo la...

READ MORE

Moro: Lori Laangukia Coaster, Watu Kadhaa Wahofiwa Kufa

WATU kadhaa wanahofiwa kufariki dunia kwa kubanwa ndani ya gari baada ya lori kuliangukia basi dogo la abiria (coaster) katika...

READ MORE

Breaking: Magufuli Apewa Tuzo ya Heshima na TAG -Video

RAIS John Magufuli leo Agosti 14, 2020, amepewa tuzo maalum ya heshima na Baraza Kuu la Kanisa la Tanzania Assemblies...

READ MORE

Breaking: Tetemeko la Ardhi Lapiga Dar & Pwani

TTEMEKO la ardhi lenye kipimo cha richter 5.9, limepita katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania na kudumu kwa sekunde kadhaa,...

READ MORE

Tanzia: Dkt. Kisanga Afariki Akienda Kugombea UVCCM

  Rais wa Chama cha Wanamuziki wa Injili Tanzania, Dkt. Donald Kisanga amefariki dunia kwa ajali ya gari Jijini Dodoma...

READ MORE

Breaking: 10 Wafariki Boti Ikizama Ziwa Tanganyika

WATU 10 wamefariki dunia na wengine 87 wakiokolewa, baada ya boti iliyokuwa ikitokea maeneo ya Sibosa kupigwa na dhoruba kisha...

READ MORE

Breaking: Magufuli Amtumbua DC wa Rufiji

Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani Luteni Kanali Sawala anachukua...

READ MORE

Breaking: Rais Magufuli Afika Nyumbani Kwa Mzee Mkapa -(Video +Picha)

 Rais Magufuli akiambatana na Mkewe Mama Janeth jioni ya leo Julai 25, 2020 amefika nyumbani kwa marehemu Benjamin William...

READ MORE

BREAKING: Rais wa awamu ya 3, Benjamin William Mkapa Afariki Dunia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Rais Mstaafu...

READ MORE

Kubenea Aondoka Chadema, Ajiunga ACT-Wazalendo

MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga...

READ MORE

Breaking: Rais Magufuli Ahirisha Sherehe Za Mashujaa 2020

Rais John Magufuli ameahirisha sherehe za mashujaa zilizokuwa ziganyike Julai 25 mwaka huu jijini Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa RC Makonda

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar akichukua nafasi ya Paul Makonda. Kabla ya...

READ MORE

Tanzia: Binti wa Mzee Mandela Afariki Dunia

Binti wa mwisho wa hayati aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Madiba Mandela, Zindzi Mandela amefariki dunia jijini...

READ MORE

Breaking: DAS wa Handeni Afariki kwa Ajali, Mbunge Ajeruhiwa

WATU watatu wamefariki dunia akiwemo Katibu Tawala (DAS) wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Mwalimu Boniface Maiga Jumaa baada ya...

READ MORE

Breaking: JPM Amsamehe Kinana, Membe Atimuliwa Mazima – Video

MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa  umemsamehe Katibu Mkuu Mstaafu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, na...

READ MORE

Breaking: CCM Yampitisha Magufuli Kugombea Urais

  MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, leo Ijumaa, Julai 10, 2020, kwa kauli moja umempitisha ...

READ MORE

Breaking: CCM Yampitisha Mwinyi Kugombea Urais Zanzibar

  MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Taifa umemteua Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mgombea urais wa Serikali...

READ MORE

BREAKING: Joshua Nassari Ahamia CCM Arusha – (Pichaz +Video)

ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amejiunga na Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Majina Matano CCM, Zanzibar Yapendekezwa Kuwania Urais

KAMATI Maalum ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Taifa Zanzibar jana Julai 4, 2020 imependekeza majina matano ya makada...

READ MORE

Breaking News: Serikali Yalifungia Gazeti la ‘Tanzania Daima’

Serikali imesitisha leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020 kwa kukithiri, kujirudia makosa...

READ MORE

BREAKING: MAGUFULI ‘AMTUMBUA’ RC GAMBO, DC WAKE na MKURUGENZI

Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu...

READ MORE

Vuai Nahodha Achukua Fomu Urais Zanzibar

WAZIRI Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Breaking: Magufuli Achukua Fomu Kuwania Urais 2020 – Video

RAIS  John Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) asubuhi leo Jumatano ya Juni, 17, 2020, amechukua fomu...

READ MORE

Mbunge ‘Bwege’ Atangaza Kuhamia ACT Wazalendo

  Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kwa jina la Bwege ametangaza kukihama Chama Cha Wananchi Cuf...

READ MORE

Breaking: Rais Nkurunziza Afariki Dunia

ALIYEKUWA Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki Dunia kwa kile kinachodaiwa kuwa ni shambulio la moyo leo Juni 9,...

READ MORE

Breaking: Mbowe Ashambuliwa, Ajeruhiwa na Wasiojulikana

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe,...

READ MORE

Bosi MSD, Laurean Bwanakunu Anashikiliwa na TAKUKURU -Video

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo Juni 2, 2020 inamshikilia aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa...

READ MORE

BREAKING: Zitto Aachiwa Huru, Apewa Masharti Magumu

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Mei 29, 2020 imemuachia huru Zitto Kabwe,  Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwa...

READ MORE

Mwanza: Moto Wateketeza Kisiwa cha Mchangani, Buchosa

  MOTO mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeibuka usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Mei 23, 2020, katika Kisiwa cha...

READ MORE

Breaking: Sokombi, Masele Watimka Chadema

#BREAKINGNEWS: Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Joyce Sokombi na Sussane Masele wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha...

READ MORE

Breaking: Kenya Yafunga Mipaka Yake Tanzania na Somalia

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kufungwa kwa mipaka yake na Mataifa ya Tanzania na Somalia kuanzia usiku wa  kwa siku 30...

READ MORE

Breaking: Mbowe Atakiwa Kuripoti Polisi, Mkutano Wake Waahirishwa

Jeshi la Polisi leo Mei 14, 2020  limemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuripoti kituo cha Polisi Oyster Bay ikiwa...

READ MORE

Geita: 5 Wafariki, 14 Wajeruhiwa Basi la Maiti Likigonga Lori – Video

WATU watano wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Coaster kuligonga lori la mizigo...

READ MORE

Tanzia: Mhadhiri Wa Chuo Kikuu Ardhi Dkt. Job Chaula Afariki Dunia

  Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Dkt. Job Asheri Chaula amefariki dunia leo Ijumaa, Mei 8, 2020, asubuhi katika...

READ MORE

Tanzia: DC Buzohera wa Nyang’wale Afariki Dunia

MKUU wa Wilaya ya Nyang’wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 majira ya saa 5:00...

READ MORE

Kiwanda cha Kahawa Chateketea Kagera

KIWANDA cha kukoboa kahawa cha Kharim Amri kilichopo Mgakorongo wilayani Karagwe, kimeungua moto. Taarifa za awali zinadai kuwa mashine na...

READ MORE

Tanzia: Sheikh Kilemile Afariki Dunia

MWANZUONI nguli wa Tanzania na Afrika Mashariki, Sheikh Suleiman Amran Kilemile, amefariki usiku wa kuamkia leo, May 06, 2020, katika...

READ MORE

Tanzia: Dkt. Lamwai Afariki Dunia

MWANASIASA na mwanasheria mkongwe, Dkt. Masumbuko Lamwai amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 5, 2020.   Dkt. Lamwai aliwahi...

READ MORE

Breaking: Mchungaji Peter Mitimingi Afariki Dunia

Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi amefariki usiku wa kuamkia leo Mei 4, 2020  jijini Aruaha alikuwa ni kiongozi wa Kanisa la...

READ MORE