×

Breaking News

JPM: Ondoeni Hofu Kuhusu Corona, Chapeni Kazi -Video

RAIS Dk.John Magufuli tangu tanga la Corona limeibuka kila nchi inao utaratibu wake wa kushughulika na tatizo hilo na kwa...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Mwigulu Kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa...

READ MORE

Breaking News: Kim Jong-Un Aonekana Hadharani

KWA mujibu wa vyombo vya habari nchini Korea Kusini, Kim Jong-un, ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza baada ya siku...

READ MORE

Mtaalam wa Tiba Asili, Dk Maneno Tamba Afariki Dunia

Mtaalam wa Tiba Asili Tanzania, Dk Maneno Tamba amefariki dunia leo Mei Mosi, jiji Dar es salaam, mdogo wake Sultan...

READ MORE

Waziri Wa Katiba Na Sheria Mahiga Afariki Dunia -Video

Waziri wa Katiba na Sheria , Balozi Dkt Augustine Mahiga amefariki dunia alfajiri ya leo Mai 1, 2020 baada ya...

READ MORE

Tanzia: Mbunge Richard Ndassa Afariki Dunia

MBUNGE wa Jimbo la Sumve kwa titeki ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Richard Ndassa,  amefariki dunia mapema leo Jumatano, Aprili...

READ MORE

Walioambukizwa Corona TZ Wafikia 480, Vifo 16 -Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema  maambukizi mapya ya ugonjwa  wa Covid-19  unaosababishwa na virusi vya corona, sasa yamefikia watu 480...

READ MORE

Video: Selasini Ajiondoa Chadema, Atimkia NCCR-Mageuzi

MBUNGE wa Rombo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini ametangaza kuachana na chama hicho na kurejea kwenye...

READ MORE

Tanzania: Waliothibitika Kuwa na Corona Wafikia 306

  WIZARA ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya saba walioambukizwa virusi vya corona na kufikisha idadi...

READ MORE

Tanzia: Mdogo wa Lowassa Afariki Dunia

MDOGO wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa anayefahamika kwa jina la Bernard Lowassa, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne,...

READ MORE

Tanzia: Jaji Augustino Ramadhani Afariki Dunia

Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Augustino Ramadhani, amefariki dunia leo Aprili 28, 2020, katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar...

READ MORE

Tanzia: Naibu Meya Morogogoro Afariki Dunia

o Naibu Meya Manispaa ya Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Diwani wa Kata ya Kiwanja cha Ndege, Isihack...

READ MORE

Tanzia: Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Afariki Dunia

MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Evod Mmanda, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu, Aprili 27, 2020, katika Hospitali ya...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Lapiga Geita

TETEMEKO la ardhi limetokea majira ya saa 6:07 usiku wa kuamkia leo na kutikisa maeneo ya Kanda ya Ziwa hususani...

READ MORE

Wagonjwa 37 Wapona Corona, Wengine 71 Wanasubiri Wako Fiti – Video

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu leo Aprili 24, 2020 amesema wagonjwa 37 wa...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Walazimisha Kuondoka Amana Hospital

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, amethibitisha kuwa kuna baadhi ya wagonjwa walioathirika wa virusi vya Corona waliokuwa kwenye...

READ MORE

Rais JPM Afanya Uteuzi Mpya Akiwa Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa...

READ MORE

Abood Lagongana na Lori la Mafuta, Lateketea, Mmoja Afariki – Video

Mtu mmoja amefariki dunia usiku wa kuamkia jana leo usiku Aprili 20, 2020,  baada ya Basi la Kampuni ya Abood...

READ MORE

BREAKING: Wagonjwa wa Corona Tanzania Wafika 254

Wizara Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema licha ya uwepo wa wagonjwa wapya 84 wa corona na...

READ MORE

Tanzia: Mama Rwakatare Afariki Dunia

MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto, Askofu Gertrude Rwakatare,  amefariki dunia alfajiri ya leo ya Aprili 20, 2020, akiwa...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa 23 Wapya wa Corona Zanzibar, Jumla Wafikia 170 Tanzania

Wizara ya Afya Zanzibar, leo Aprili 19, 2020 imetangaza ongezeko la wagonjwa 23 wapya wa Corona na kufanya idadi ya...

READ MORE

Corona Tanzania: 127 Wapata Nafuu, Walioambukizwa 147 – Video

WAKATI idadi ya wagonjwa walioambukizwa virusi vya corona imefi kia 147 nchini kote, habari njema ni kwamba 127 kati yao...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 94

Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya wa corona sita nchini na kufikia wagonjwa 24 kutoka...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Wafikia 88 Tanzania

Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 nchini. Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88...

READ MORE

Breaking: Ishu Ya Chama Yatinga TFF, Kuamuliwa na Kamati Ya Sheria

UONGOZI wa klabu ya Simba umepeleka barua kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuishitaki Yanga kwa kuvunja kanuni za usajili....

READ MORE

Corona: Wagonjwa 6 Waongezeka Zanzibar, Mmoja Afariki

WIZARA  ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya sita wa virusi vya Corona na kufikisha idadi ya wagonjwa 18 kutoka 12...

READ MORE

Breaking: Ajali Yaua 18 Kibiti Mkuranga

WATU 18 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha Kilimahwewa Wilaya ya Mkuranga mkoani...

READ MORE

Wagonjwa Watatu wa Corona Waongezeka TZ, Wafikia 49

WAZIRI wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid, ametangaza ongezeko la watu watatu wenye maambukizi ya virusi vya corona visiwani humo,...

READ MORE

Wagonjwa 14 wa Corona Waongezeka TZ, Wafikia 46

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema watu wengine 14 wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi...

READ MORE

Tanzia: Wafanyakazi Wawili TBC Wafariki Dunia

IKIWA ni takriban siku kumi tangu kumpoteza nguli na mwandishi fundi wa habari, Marin Hassan Marin, Shirika la Utangazaji la...

READ MORE

Breaking: Wawili Wafariki na Corona Dar, Idadi Maabukizi Yafikia 32 -Video

Wizara ya Afya leo Aprili 10, 2020 imetoa taarifa juu ya uwepo wa wagonjwa wapya wa Corona watano Dar es...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa wa Corona Wafikia 25 Tanzania

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetangaza kwa idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini...

READ MORE

Mmiliki wa JamiiForums Ahukumiwa Jela au Faini Mil 3 – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forum, Maxece Mello kulipa faini ya Sh.Mil 3 ama kwenda...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa wa Corona Tanzania Wafikia 24

WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu, ametangaza uwepo wa wagonjwa wengine wapya wanne wa maambukizi ya virusi vya corona...

READ MORE

Corona: Waziri Mkuu wa Uingereza Alazwa

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, amelazwa hospitalini ili kufanyiwa vipimo vya virusi vya corona, siku kumi baada ya kukutwa...

READ MORE

Kubenea Aanika Mazito Asema ‘Bado Nipo Chadema’ – Video

  MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  amesema licha ya tetesi kusambaa kuwa anataka...

READ MORE

Mwingine Akutwa na Corona Dar, Wagonjwa Wafikia 20

WIZARA ya Afya leo Jumatano, Aprili 1, 2020 imethibitisha kuwepo kwa kesi ya mpya maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID-19)...

READ MORE

Tanzia: Marin Hassan wa TBC Afariki Dunia

NGULI wa habari nchini aliyekuwa akifanya kazi katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Marin Hassan Marin, amefariki dunia leo Aprili...

READ MORE

Mrithi wa Maalim Seif CUF Afariki Dunia

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Khalifa Suleiman Khalifa,  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Machi 31 2020,...

READ MORE

Mgonjwa wa Kwanza wa Corona Afariki Tanzania

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wazee na Watoto,  imethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa virusi vinavyotokana...

READ MORE