×

Breaking News

Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 19

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu,  amesema wagonjwa wa corona nchini Tanzania wamefikia 19, baada ya watano kuongezeka leo Jumatatu Machi...

READ MORE

TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Katani Ltd Afariki Dunia

MKURUGENZI wa zamani wa Katani Limited, Salum Shamte, amefariki dunia katika Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) jijini Dar es...

READ MORE

Tanzia: Waziri Kiongozi wa Kwanza Zanzibar Afariki Dunia

Waziri Kiongozi wa kwanza Zanzibar (1972-1984), Muasisi wa Mapinduzi na Muungano, Ramadhani Haji Faki (99), amefariki Dunia jijini Dar leo,...

READ MORE

Marekani: Waathirika wa Corona Virus Wafikia 104,256

MAREKANI imeendelea kuongoza kwa idadi kubwa ya kasi ya maambukizi ya virusi vya corona ambapo wamefikia  104,256 na waliopona ni...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Uganda Wafikia 18

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema idadi ya maambukizi nchini humo imefikia 18 baada ya vipimo 197 vilivochukuliwa jana kuthibitisha...

READ MORE

Wawili Wafariki kwa Corona Afrika Kusini

WAZIRI wa Afya wa Afrika Kusini, Dkt. Zweli Mkhize,  amesema watu wawili kutoka Jimbo la Western Cape wamefariki dunia kutokana...

READ MORE

Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson Apata Corona

WAZIRI Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amethibitika kuwa na virusi vya corona, taarifa iliyotolewa na Mamlaka za Uingereza imesema Boris...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa wa Corona Wafikia 13 Tanzania

  WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amesema idadi ya wagonjwa walioambukizwa virusi vya...

READ MORE

Mdee, Bulaya, Meya Jacob Wafikishwa Mahakamani – Video

WABUNGE watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema): Halima Mdee (Kawe), Ester Bulaya (Bunda Mjini) na Jesca Kishoa (Viti...

READ MORE

Ajali ya Treni Yaua Watumishi Watano wa TRC

  Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania – TEC unatangaza taarifa za Vifo vya watumishi 5 wa TRC. Vifo hivyo...

READ MORE

Tanzia: Dkt. Makongoro Mahanga Afariki Dunia

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kichama wa Ilala Jijini Dar es Salaam, Dkt. Milton...

READ MORE

Dereva wa ‘Isamilo’ Afariki Kwenye Basi Lake Akiwa Safarini

DEREVA wa basi la Isamilo lenye namba za usajili T609 CQB aina ya Scania linalofanya safari zake kati ya Mwanza...

READ MORE

Breaking News: Corona Yaingia Tanzania, Serikali Yathibitisha – Video

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amethibitisha kuwa Tanzania ina mgonjwa mmoja mwanamke (46)...

READ MORE

JPM Ashtukiza Ubungo, Aahirisha Mbio za Mwenge – Video

RAIS John Pombe Magufuli, amesitisha mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2020 zilizotarajiwa kuanza hivi karibuni ili kuepuka  maambukizi...

READ MORE

Moto wa Gesi Wateketeza Nyumba Moro, Waandishi 4 Wajeruhiwa

WAANDISHI wa habari wanne Mkoani Morogoro wameungua moto wakati wakifuatilia tukio la nyumba kuwaka moto katika eneo la Msamvu Mizambarauni,...

READ MORE

Mke wa Askari Aliyemuua Dada wa Kazi Afikishwa Kortini – Video

Mke wa askari Polisi anayetuhumiwa kumpiga mfanyakazi wake wa ndani hadi kumsababishia kifo, amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Arumeru...

READ MORE

Serikali Yavunja Mkataba wa Lugola

DODOMA: SERIKALI imetangaza kuvunjwa kwa mkataba tata kati ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Kampuni ya ROM Solutions wa...

READ MORE

Mmiliki Mabasi ya J4 Ahukumiwa Kifo kwa Kuwaua Wenzake

MAHAKAMA Kuu Mwanza imemhukumu adhabu ya kifo mfanyabiashara wa kampuni ya mabasi ya J4, Jumanne Mahende (45) baada ya kumtia...

READ MORE

Polisi Yapiga Mabomu Chadema Waliomfuata Mbowe Segerea

POLISI wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliofika gereza la Segerea leo jijini...

READ MORE

Breaking News: Corona Yatua Kenya, Mmoja Athibitika

  TUKIO la kwanza la virusi vya Corona limethibitishwa nchini Kenya. Wizara ya afya imethibitisha tukio hilo kulingana na waziri...

READ MORE

CCM Yamnasua Mashinji Jela, Yamlipia Mil. 30 – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam,  kupitia  Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa,    Humphrey Polepole, leo...

READ MORE

Mbowe, Wenzake Wahukumiwa Jela au Kulipa Faini

Hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo imewahukumu viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiongozwa na mwenyekiti wao,...

READ MORE

Updates: Mbowe, Wenzake Wakutwa na Hatia Makosa 12

UPDATES KUTOKA KISUTU, HUKUMU YA MBOWE VIONGOZI WENZAKE: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewatia hatiani washtakiwa wote katika mashtaka 12,...

READ MORE

Waziri Mkuu Anusurika Kuuawa

WAZIRI Mkuu wa Sudan, Abdullah Hamdok, amenusurika kuuawa baada ya msafara wake kushambuliwa kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum....

READ MORE

Mangula Abainika Kuwa na Sumu Mwilini – Video

JESHI la Polisi Kanda ya Dar es Salaam, kupitia kwa Kamanda wake, SACP Lazaro Mambosasa, limesema baada ya uchunguzi wamebaini...

READ MORE

Baba Kanumba Afariki Dunia Shinyanga Leo – Video

 Baba Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amefariki leo Machi 8, 2020, saa nne asubuhi akiwa Hospitali ya...

READ MORE

Ajali ya Lori na Basi Mwandege Mkuranga Yajeruhi

Lori la Mchanga lililokuwa likielekea Mkuranga limegongana uso kwa uso na daladala linalofanya safari zake Temeke kuelekea Kisemvule katika kijiji...

READ MORE

Watu Wawili Wafariki kwa Kusombwa na Mafuriko Morogoro

WATU wawili wameripotiwa kupoteza maisha huku mmoja akijeruhiwa kufuatia mvua kumbwa zilizonyesha usiku wa kuamkila leo Manispaa ya Morogoro, baada...

READ MORE

Askofu Gwajima Ahojiwa na Polisi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemuhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima, kwa...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Profesa Lipumba Na James Mbatia Ikulu, Dar

RAIS John Magufuli leo Machi 3, 2020 amekutana na wanasiasa wakongwe Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim na...

READ MORE

Dkt. Bashiru: Membe Akitubu Tunampokea

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt Bashiru Ally, amemuomba aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe,...

READ MORE

Breaking: Katibu Bavicha Aondoka Chadema – Video

ALIYEWAHI kuwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Simbeye,  ametangaza kuachana na...

READ MORE

Katibu Mkuu Chadema, Dkt. Mashinji Atimkia CCM – Video

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Vicent Mashinji,  amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumatatu, Februari...

READ MORE

Breaking News: Moto Wateketeza Maduka Tegeta-Nyuki Dar

MADUKA saba katika soko la Tegeta-Nyuki Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam yameteketea kwa moto leo asubuhi Februari 18,...

READ MORE

Mbezi High School Waipokea kwa Shangwe Jipange na Pepa

Project ya Jipange na Pepa, inazidi kupasua anga ambapo leo, Jumatano, Februari 12, 2020, imefanyika katika Shule ya Sekondari ya...

READ MORE

Kamati Kuu CCM Yatoa Siku 7 Sakata la Membe, Kinana na Makamba

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyoketi Chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt John Magufuli imepokea taarifa ya awali...

READ MORE

Mazishi ya Rais Moi, Barabara Zafungwa Nairobi

MALORI na magari mengine ya mazigo hayaruhusiwi kutumia barabara kuu ya Nairobi – Eldoret huku maelfu ya waombolezaji wakitumia barabara...

READ MORE

Safari ya Mwisho ya Rais Moi Yaanza Kabarak Nakuru

MWILI wa aliyekuwa rais mstaafu wa Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi,  umesafirishwa kwa ndege ya kijeshi kutoka Nairobi ukipelekwa nyumbani...

READ MORE

Katibu Mkuu Apata Ajali Akienda Maziko ya Moi

KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Kenya kiitwacho Jubilee, Raphael Tuju,  amepata ajali katika eneo la Magina, Barabara Kuu ya...

READ MORE

Mkapa na Kikwete Wawasili Kenya Kumzika Rais Moi

  MARAIS wastaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wageni mashuhuri, watakaoshiriki mazishi ya kitaifa ya...

READ MORE