×

Burudani

Akifanya Hivi, Blac Chyna Atamfikisha Ferrari Mahakamani

Labda ulikuwa ukilisikia lile vuguvugu la ugomvi mkubwa baina ya watu waliowahi kuwa wapenzi, Blac Chyna na mwanamuziki Ferrari. Ishu...

READ MORE

Hawa Ndiyo Mastaa Wanaoingiza Mkwanja Mzito Instagram

WEWE si unapenda kupost instagram kutafuta likes nyingi au hata wateja wako? Sasa achana na mambo yote, ikufikie hapo ulipo...

READ MORE

Kilio cha Zamaradi kwa Bikira wa Kisukuma Chaibua Simanzi

Ikiwa bado Watanzania wapo kwenye majonzi mazito ya kuondokewa na Mtangazaji wa Kituo cha Radio EFM, Seth Katende maarufu kwa...

READ MORE

Huyu Ndiye Floyd Mayweather

Jina lake halisi anaitwa Floyd Joy Sinclair lakini wengi wanamfahamu kwa jina la Floyd Mayweather, alizaliwa Februari 24, 1977 huko...

READ MORE

Harmorapa – Bongo Hakunaga Kama Alikiba

  RAPA chipukizi ambaye haishiwi vituko Harmorapa, amefunguka na kusema Alikiba ni msanii ambaye amekosa mfano hapa Tanzania kutokana kazi...

READ MORE

Feza Kessy: Kuna media zinanibania hata ‘interview’

MSANII wa Bongo Flava na mtangazaji wa Choice FM, Feza Kessy,  amesema kutokana na kazi yake ya utangazaji kuna baadhi...

READ MORE

Hawa Jamaa Wamevurugwa Hatari

  UZALENDO ni kukubali kilicho chako hata kama kibaya. Lakini si dhambi kusifia cha mwenzio kizuri. Nasema hivyo kwa sababu...

READ MORE

Kwa Wikiendi Tu, Spiderman Yaingiza Mabilioni Haya

WATU wapo bize kupiga pesa, wanawekeza kwa pesa nyingi sana lakini mwisho wa siku wanaingiza mabilioni ya dola. Huku watu...

READ MORE

Ubuyu Ulionyooka! Wolper Ndani ya Penzi Jipyaaa

  Ubuyu ambao upo mezani leo ni wa staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Massawe ambaye kwa sasa yupo kwenye...

READ MORE

Madee, Lulu Mahaba Niue!

  STAA wa Bongo Fleva anayejiita Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ na staa mwenzake wa muziki huo, Lulu Abbas...

READ MORE

BEYONCE, KIM KARDASHIAN KUNA NINI TENA???

MSANII kutoka Marekani ambaye pia ni mke wa Rapa Jay Z, Beyonce Knowles ameibuka gumzo mitandaoni baada ya kukataa zawadi...

READ MORE

NI ZAMU YA WOLPER KUCHORWA TATTOO

Baada ya kutupiwa virago na mpenzi wake wa zamani, diva kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper, amempata ‘baby’ mwingine...

READ MORE

Mama: Lulu Anarudi Darasani

  MAMA mzazi wa staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila amezima minon’gono ya mwanaye huyo kutarajia kufunga...

READ MORE

Wafanyakazi Wa Global Wakipata Chakula ‘Hawaii Beach’ Dar

(PICHA: SWEETBERT LUKONGE | GLOBAL PUBLISHERS)

READ MORE

Mlela Asimulia Alivyonusa Kifo

  MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Yusuf Mlela amesimulia mazingira yote ya namna alivyonusa kifo, kufuatia ajali aliyoipata hivi karibuni iliyosababisha...

READ MORE

Hali ya Shumi Yadaiwa Kuwa Tete Ughaibuni

  MWIGIZAJI wa kitambo Bongo, Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’ au ‘Shumi’ anadaiwa kuwa na hali tete ya kimaisha nchini India kufuatia...

READ MORE

WAZIRI MWAKYEMBE APAMBA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA DAR GYMKHANA

(Picha: Klabu ya Dar es salaam Gymkhana)

READ MORE

Tamasha la ‘Komaa Concert’ Laweka Historia jijini Mwanza

  Tamasha la Komaa concert limenyika katika Mkoa wa Mwanza jana  katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuanzia saa...

READ MORE

Mastaa walivyonogesha Harusi ya Prof. Jay

Mastaa mbalimbali nchini jana walihudhuria harusi ya Prof. Jay na mkewe Bi Grace iliyofanyika Mlimani City wakiongozwa na Lady Jay...

READ MORE

PICHAZ: Sugu, Msigwa Walivyokata Mauno Harusi ya Prof. Jay

  USIKU wa kuamkia leo ilikuwa ni shangwe kwenye Ukumbi wa Mlimani City wakati wa sherehe ya Rapper nguli wa...

READ MORE

Cloud 112: Nafurahia maisha ya ndoa

  MAMBO vipi shabiki namba moja wa Mpaka Home? Natumai upo poa sana. Kama ilivyo ada ya safu hii ni...

READ MORE

21 Savage, Amber Rose Ndani Ya Penzi Zito

RAPA kutoka Atlanta, 21 Savage ambaye hivi karibuni ameachia album yake ya Issa, amekiri tetesi zilizosambaa kuwa kwa sasa yu...

READ MORE

Tecno Dude Ndiyo Simu ya Kijanja Mjini

  Katika kuadhimisha kilele cha Sikukuu ya Sabasaba, Kampuni ya Simu ya Tecno jana Ijumaa iliendelea na promosheni yake kabambe...

READ MORE

NAY WA MITEGO NA WEWE UNATAKA KIKI

  NI True Boy tena, Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego. Safari hii amekuja na kibao chake...

READ MORE

Tetesi za Usajili Ulaya

STRAIKA wa Arsenal, Olivier Giroud amezungumza na Kocha wa Everton, Ronald Koeman kuhusu uwezekano wa kujiunga kikosini mwake. REAL Madrid...

READ MORE

SHAMSA AFUNGUKIA NDOA YAKE KUTOJIBU

WAKATI ndoa yake na Rashid Said ‘Chid Mapenzi’ ikiwa na miezi kumi bila kujibu kwa kupata ujauzito, staa wa filamu...

READ MORE

Lulu Aweka Rekodi Serikali ya JPM

  IMEVUJA! Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, anatajwa kuwa ndiye staa pekee wa kike Bongo aliyeweka...

READ MORE

VIDEO: Mikanda ya Ubingwa wa Ndondi wa Global TV Afrika Mashariki na Kati Hadharani

  BAADA ya miaka sita kupita bila ya Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, Dar kutumika katika mch­ezo wa...

READ MORE

“Shocking!” Jay Z, Gloria Carter Na Hadithi Iliyoushtua Ulimwengu

SIKU kadhaa zilizopita, nguli wa Muziki wa Hip Hop duniani, Shawn Carter ‘Jay Z’ aliachia albamu yake mpya, 4:44 kupitia...

READ MORE

MAMA KIBA ATEMA CHECHE MADAI YA KIBA KUZAA NA BINTI WA KENYA

SKENDO ‘hot’ inayomhusu staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ ya kudaiwa kuzaa na msichana mmoja...

READ MORE

Aunty: Nitazaa tena 2027

STAA kutoka Bongo Muvi, Aunt Ezekiel ameweka wazi kuwa wazo la kushika ujauzito hivi karibuni halipo na kwamba kuzaa tena...

READ MORE

MALAIKA ASHTUA MASHABIKI KWA PICHA 2 ZA NGONO

MSANII wa muziki anayefanya poa Bongo na Mamtoni, Diana Exavery ‘Malaika’ hivi karibuni aliwashtua mashabiki wake baada ya kupiga picha...

READ MORE

Nay: Godzilla Njoo Nikusaidie, Stress Zitakufanya Ule Unga!

  STAA wa ngoma ya ‘Moto’ ambayo inafanya vizuri kwa sasa, Emmanuel Elibariki,  maarufu kwa jina  la Nay wa Mitego...

READ MORE

Haitham Kim Asema Wasanii Bongo Miyeyusho

DIVA anayechipukia kwenye tasnia ya  muziki wa Bongo Fleva,  Haitham Kim,  anayetamba na kibao chake cha Playboy alichomshirikisha nyota wa...

READ MORE

Miaka 15 ya Saida Karoli Kwenye Game ya Muziki (Pichaz +Video)

MWIMBAJI wa nyimbo za asili Bongo, Saida Karoli, usiku kuamkialeo amefanikiwa kukusanya umati wa Watanzania katika Ukumbi wa Escape One,...

READ MORE

Tamasha la ‘Komaa Concert’ Kufanyika Mwanza Kesho

KATIKA muendelezo wa matamasha yetu ya kila mwaka, Efm redio inawaletea wasikilizaji wake tamasha la Komaa concert litakalo fanyika katika...

READ MORE

Profesa J Kuuaga Ubachela Karibuni

  MBUNGE  wa Jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni mwanamuziki wa...

READ MORE

Bosi wa Simba Kutua Kesho, Kuisuka Simba Mpya

WAKATI kikosi cha Simba kikianza maandalizi yake ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, juzi Jumatano, kocha mkuu...

READ MORE