×

Burudani

Kishindo cha Ali Kiba Kufunga Mwaka Balaa

KING wa Bongo wa Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ ana kishindo kingine ambacho ni balaa la kufunga mwaka huu...

READ MORE

Kidunda, Twaha Kiduku Rasmi Kwa Buku Kumi – Video

KAMPUNI ya Peak Time Promotion kupitia kwa mkurugenzi wake, Kapteni Selemani Semunyu imeweka wazi kuwa pambano la usiku wa mabingwa...

READ MORE

Barcelona Kukiwasha na Juventus Leo Usiku!

Katika kuhitimisha hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa, Kundi G kumalizika kwa Barcelona kuwakaribisha Juventus katika dimba la Camp...

READ MORE

Cheki Rose Manfere Alivyotwaa Taji la Miss Tanzania kwa Mbwembwe

Mrembo Rose Manfere usiku wa kuamkia leo ametwaa taji la Miss Tanzania kwa mbwembwe na mikogo akiwabwaga wenzake 19 katika...

READ MORE

Mavoko: Ngoma Zangu Zitaongea Siyo Mimi

MKALI wa ngoma za kuyaimba mapenzi kupitia Bongo Fleva, Rich Mavoko amesema kukaa kwake kimya bila kuwa na makeke mitandaoni...

READ MORE

Dkt. Abbasi Awatembelea THT, Aahidi Kuenzi Ndoto za Ruge

  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, jana Desemba 4, 2020,   amekutana na...

READ MORE

Miss Tz 2020 Hapatoshi Leo

TIMU ya warembo 20 wanaowania Taji la Miss Tanzania 2020, wana jambo lao kesho ambapo patakuwa hapatoshi, warembo hao wenye...

READ MORE

Kumekucha Zuchu na Rayvanny

  ACHANA na rekodi za wimbo wao wa Number One unaendelea kukiamsha mitaani na mtandaoni, lakini habari nzito ni kwamba...

READ MORE

Rose Mhando Shavu Dodo

STAA wa muziki wa Gospol Afrika Mashariki, Rose Muhando ameyashinda majaribu ya umauti na sasa ameibuka upya akiwa amenawiri ‘shavu...

READ MORE

Sun-El Aachia Ngoma Mpya ‘Fire’

  MSANII mwenye tuzo kibao kutoka nchini Afrika Kusini, Sun-El ameachia kazi yake mpya, inayokwenda kwa jina la ‘Fire’ akiwa...

READ MORE

Irene Paul Humwambii Kitu kwa Shilole

STAA wa filamu za kibongo, Irene Poul amewakata vilimi mastaa wa kike wa Bongo kwa kuwaambia kuwa hakuna staa mkubwa...

READ MORE

Asap Rocky Ajisogeza kwa Rihhana

MWANAMUZIKI wa miondoko ya Rnb Robyn Rihanna Fenty maarufu kama Rihanna na msanii wa Hip Hop Rakim Mayers A$AP Rocky...

READ MORE

Aslay Ataja Sababu za Kuwa Singo

MWANAMUZIKI Bongo Fleva, Aslay Isihaka ameeleza sababu ya kukaa bila mpenzi (kuwa singo), Aslay anasema kuwa, kwa sasa ameamua kuwa...

READ MORE

Pialali, Mtango Waishukuru Global Publishers

   MABONDIA wa ngumi za kulipwa waliokuwa na mapambano ya kimataifa Novemba 28, mwaka huu, Idd Pialali na Salim Mtango,...

READ MORE

Video: Ngoma Mpya ya Diamond ft Koffi Olomide ‘Waah’

Msanii Diamond Platinumz ametoa Video mpya akishirikiana na Legendi kutoka DRC Koffi Olomide unaoitwa ‘Waah’ 

READ MORE

Miss Tanzania 2020 Watikisa Global Publishers

  TIMU ya warembo 20 wanaowania taji la Miss Tanzania 2020 leo Novemba 30 lilifanya ziara katika jengo la Global...

READ MORE

Warembo wa Miss Tanzania Wakielezea Maisha Yao ya Kambini

WASHIRIKI wa Shindano la Miss Tanzania 2020, wametembelea ofisi za Global Publishers ambapo wamefanya mahojiano maalumu na kueleza uzoefu wao...

READ MORE

Mtango Alivyomchapa Mfilipino Aliyekuwa Akiumezea Mate Mkanda Wake

Usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni kama ‘zari’ kwa Wabongo pale Bondia Mtanzania, Salim Mtango alipomchakaza  bondia wa kimataifa kutoka...

READ MORE

Ally Rehmtullah Alivyozindua Onesho la Mitindo la Kwetu Kwetu

MBUNIFU maarufu wa mitindo hapa nchini, Ally Rehmtullah usiku wa kuamkia leo amezindua onesho lake la mitindo alilolipa jina la...

READ MORE

Nandy Ampindua Zuchu Kwa Mondi

DAR: Kwa harakaharaka unaweza kusema kwa mwaka huu wa 2020 unaoelekea ukingoni, mwanadada Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’, ameua ndege wawili...

READ MORE

Diamond, Zuchu, Rayvanny… Walivyowasili Kahama – Video

WANAMUZIKI kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) wakiongozwa na CEO, Diamond Platnumz, wamewasili salama Kahama mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia Novemba...

READ MORE

Kesi ya Kuvamiwa Studio za S2Kizzy Yafikia Hapa

Producer S2Kizzy amefunguka kinachoendelea kwenye kesi ya kuvamiwa na kushambuliwa studio kwake na watu waliojitambulisha kuwa ni sungusungu kwa kusema...

READ MORE

Bibi Harusi Atua Harusini na Suti

SANJANA RISHI hivi karibuni aliamua kuvalia suti katika harusi yake badala ya mavazi ya kitamaduni ya bibi harusi wa Kihindi...

READ MORE

Bieber Awakosoa Grammy Kuhusu Albamu Yake

MWIMBAJI wa muziki wa Pop na R&B kutokea nchini Canada, Justin Bieber, mwaka huu amepata nafasi ya kutajwa kuwania Tuzo...

READ MORE

Mkali Wenu: Alikiba Aliniomba Kumwandikia ‘Mediocre’

MCHEKESHAJI maarufu nchini, Mkali Wenu,  ametoa kali ya mwaka baada ya kufunguka kwamba alimwandikia wimbo wa Mediocre  msanii Alikiba ambapo...

READ MORE

The Weeknd Amwaga Povu Kukosekana Grammy

THE WEEKND, mhanga wa tuzo za Grammy, ameibuka na kuwatupia lawama watayarishaji wake kwamba ni wala rushwa,  mara baada ya...

READ MORE

Koffi Amvulia Kofia Mondi

MWANAMUZIKI mkongwe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Antoine Christophe Agbepa Mumba almaarufu Koffi Olomide au Mopao Mokozi, amemnyooshea mikono...

READ MORE

Ben Pol Atoa Kauli kwa Mashabiki

MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva, Benham Paul ‘Ben Pol’, amewashukuru mashabiki kwa kumpa ushirikiano kila anapotoa...

READ MORE

Tuzo za AMA’s Nick Minaj Amgaragaza Card B

BADO taji la Umalkia wa Rap duniani analimiki Nicki Minaj, uthibitisho tumeupata usiku wa kuamkia leo ambapo zilitolewa tuzo za...

READ MORE

Wamejitoa Kimasomaso, Mungu Amewaona

WAHENGA walisema kuwa na mtoto siyo nguo useme utamuomba mtu! Ndivyo ilivyokuwa kwa baadhi ya mastaa Bongo ambao waliamua kujitoa...

READ MORE

Mo Music wa Basi Nenda, Amekwenda Kwelikweli

MARA nyingi imetokea kwa wanamuziki wa kada mbalimbali duniani kuwika na ngoma moja tu matata mno ya kiwango cha Dunia...

READ MORE

Kiba Aibua Mchezo Mchafu wa Mondi

MKALI wao ndani ya Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, ameibua mchezo mchafu ambao hufanywa na baadhi ya wasanii...

READ MORE

Koffi Olomide Amfuata Diamond Kufanya Kolabo

MSANII mkongwe kutoka DRC Congo amewasili nchini usiku wa kuamkia Ijumaa wiki hii, Novemba 20, 2020. kwa ajili ya kufanya...

READ MORE

Msondo Music Band Walivyokiwasha Kisuma Usiku wa Kuamkia Leo

BENDI ya Msondo Music, usiku wa kuamkia leo imekiwasha ile mbaya ndani ya Ukumbi wa Kisuma uliopo Mbagala Sabasaba Dar....

READ MORE

Harmo Avunja Rekodi ya Kiba

STAA wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’, amevunja rekodi ya msanii mwenzake, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ aliyoiweka miaka...

READ MORE

Hanscana Aapa: Nimekoma Kusimamia Wasanii

MWONGOZAJI maarufu wa video Bongo, Director Hanscana,  hupenda kuongea na mashabiki zake kupitia instagram na kuruhusu mashabiki kumuuliza maswali.  ...

READ MORE

Msanii Fayross wa Nigeria Kuanza Tour Tanzania

Msanii Fayross toka Nchini Nigeria atanazamiwa kuanza tour yake Tanzania, Kenya na Uganda mwaka Ujao. Hii ni baada ya msanii...

READ MORE

Unaijua Sumu Iliyoua Dansi la Bongo?

Sumu gani iliyoua dansi la Bongo? Hivyo ndivyo unaweza kujiuliza ukikumbuka miaka kadhaa iliyopita mashabiki wa burudani walivyokuwa hawaambiwi kitu...

READ MORE

Video Mpya ya Harmonize – Ushamba – Itazame Hapa

MSANII maarufu wa Bongo Fleva kutoka lebo ya Konde Gang World Wide, Rajabu Abdul Kahali a.k.a Harmonize, Konde Boy, Jeshi,...

READ MORE